AnthonyGasper
Senior Member
- May 11, 2019
- 178
- 166
NewtonKwangu mi siwezi kumlinganisha na Bondia wangu maana naona itakuwa uzito tofauti kabisa.
Albert(middle ) VS Newton (heavy weight)
Sent using Jamii Forums mobile app
NewtonKwangu mi siwezi kumlinganisha na Bondia wangu maana naona itakuwa uzito tofauti kabisa.
Albert(middle ) VS Newton (heavy weight)
Sent using Jamii Forums mobile app
👊👊👊👊Galilee Galileo
Isaac Newton
Leonardo da Vinci
Albert Einstein
Nicola Tesla
Hawa ndo watu nawaheshimu mno
inatumika kibishi hivyohivyo na inaleta matokeo.
E ni Energy SI Unit JoulesHii formula kaka inaleta matokeo katika nini na ushawahi kuyaona matokeo yake ?. Ukitupa mfano itakuwa poa sana.
Hii formula ya Einstein ya E = mc² ilimpa Einstein umaarufu kwa sababu ilihusisha speed of light na ukicalculate kama una mass ukazidisha na square of speed of light unapata Energy inayotakiwa. Hapo ndipo watu walipochanganyikiwa walijiuliza alifanya maarifa gani mpaka akagundua ukisquare speed of light ukazidisha na mass unapata Energy hivyo Einstein akapata umaarufu na alionekana Creative Genius wa kipekee.E ni Energy SI Unit Joules
m ni Mass SI Unit Kilograms
c ni Speed of light 300,000,000metres per second.
Energy = mass times the square of speed of light

E ni Energy SI Unit Joules
m ni Mass SI Unit Kilograms
c ni Speed of light 300,000,000metres per second.
Energy = mass times the square of speed of light
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo yake ni kwamba inarahisisha kupata Energy.Hujajiibu swali langu, nimekutaka unipe mfano wa matokeo ya hiyo formula, sio unipe maana ya hizo herufi.
Once said " strive not to be a success, but rather to be of value" Albert Einstein.makubwa
Sisi kazi yetu ni kugundua styles za kitandani pindi uwapo na mkeo (mchepuko au demu yeyote yule).Na tutaendelea tu kuhadisiana watu waliofanya vitu na sisi je..??
Na ni kweli maana leo usiku nilisikia jirani akimwambia mke wake baby panda dirishani fanya kama unaidondokea!!Sisi kazi yetu ni kugundua styles za kitandani pindi uwapo na mkeo (mchepuko au demu yeyote yule).
Sent using Jamii Forums mobile app
Newton kila sehemu yupoAlbert alikuwa kiboko kuliko Newton kasome Manhattan project utaelewa.
Wakati bongo nyengine zikichukuliwa kuchunguzwa,bongo zetu wengine Ni halali ya funza hata hawazitaki😂😂
Aliponiacha hoi Albert ni space bending!!!!!
Hapo huyu jamaa namnyooshea mikono na swala la time travel nalo si la kitoto he's the real picture of genius..
Wapo watakaokuja kumlinganisha na watu wengine najua huwa hawakosekani.. zitaibuka theory hapa mpk basi bado hajaletwa Tesla na Nani nani huko😂
Ila jibu ni moja tu kila mtu na mchango wake afanye anachokiweza.
Galilee Galileo
Isaac Newton
Leonardo da Vinci
Albert Einstein
Nicola Tesla
Hawa ndo watu nawaheshimu mno
Apewe Nobel prize ya mwaka huNa ni kweli maana leo usiku nilisikia jirani akimwambia mke wake baby panda dirishani fanya kama unaidondokea!!
Google ipo kwa ajili yako utapata majibu mazuri zaidi.Energy gani ? Ushawahi kuona inaleta matokeo kwenye jambo gani hasa au, nini ?