Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

Hii formula ya Einstein ya E = mc² ilimpa Einstein umaarufu kwa sababu ilihusisha speed of light na ukicalculate kama una mass ukazidisha na square of speed of light unapata Energy inayotakiwa. Hapo ndipo watu walipochanganyikiwa walijiuliza alifanya maarifa gani mpaka akagundua ukisquare speed of light ukazidisha na mass unapata Energy hivyo Einstein akapata umaarufu na alionekana Creative Genius wa kipekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
E=mc²
Energy =mofaya (c²) /density
Ambao hamjasoma physics pita mbali
 
Huo ubongo ulikaa 40 years bila kuoza?
Yap hauozi, unahifadhiwa kwenye jars zenye liquid ambayo inafanya kiungo cha mwili wa binadamu au kiumbe yeyote kisioze, miaka nenda rudi utakikuta vilevile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom