Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Zurri dahHujajiibu swali langu, nimekutaka unipe mfano wa matokeo ya hiyo formula, sio unipe maana ya hizo herufi.

Mkuu unakaza ubongo, kama umesoma physics there is no logic behind your question.Energy gani ? Ushawahi kuona inaleta matokeo kwenye jambo gani hasa au, nini ?
Nimesoma Physics na nina ishi humo, maswali haya sio muhimu kwa mtu ambae anapenda story za Sayansi na si mchunguzi.Mkuu unakaza ubongo, kama umesoma physics there is no logic behind your question.
Zurri katika ubora wako, teh nakuja unipe elimu zaidi kuhusiana na science.Nimesoma Physics na nina ishi humo, maswali haya sio muhimu kwa mtu ambae anapenda story za Sayansi na si mchunguzi.
Pili, usiwe unaongea mambo ya logic ukiwa una jadili jambo na mimi, sababu nakuoa bado uko nyuma sana katika kuutafuta ukweli. Logic ni dhaifu sana na haiwezi kukufikisha katika kuujua ukweli.
Leo hii kunq modern Physics wao wanaiita "Quantum Physics/Quantum Mechanics" vipi kuna jaribio la kweli lililo fanyika kujua ukweli wa jambo hili ? Zaidi ya Theory na kila uchwao Wanapingana,na hii ya Einstein ni katika Modern Physics. Wenye wanasayansi wanakiri kwamba watu wanaishi kimtazamo na modern physics imekuwa maarufu sana wakati huu lakini, haikai katika uhalisia.
Sasa kwa kulijua hilo, lazima tuhoji mzee.
Nizungumze nini na mtu anayemini niko nyuma sana? Natumai hiyo Quantum physics, theory of relativity and the like.. hujui chochote kwenye hayo.Nimesoma Physics na nina ishi humo, maswali haya sio muhimu kwa mtu ambae anapenda story za Sayansi na si mchunguzi.
Pili, usiwe unaongea mambo ya logic ukiwa una jadili jambo na mimi, sababu nakuoa bado uko nyuma sana katika kuutafuta ukweli. Logic ni dhaifu sana na haiwezi kukufikisha katika kuujua ukweli.
Leo hii kunq modern Physics wao wanaiita "Quantum Physics/Quantum Mechanics" vipi kuna jaribio la kweli lililo fanyika kujua ukweli wa jambo hili ? Zaidi ya Theory na kila uchwao Wanapingana,na hii ya Einstein ni katika Modern Physics. Wenye wanasayansi wanakiri kwamba watu wanaishi kimtazamo na modern physics imekuwa maarufu sana wakati huu lakini, haikai katika uhalisia.
Sasa kwa kulijua hilo, lazima tuhoji mzee.
Unaweza kutuonyesha uhalisia wa hiyo kanuni katika maisha yetu ya kila siku ?Mkuu unakaza ubongo, kama umesoma physics there is no logic behind your question.
Zurri katika ubora wako, teh nakuja unipe elimu zaidi kuhusiana na science.
Nizungumze nini na mtu anayemini niko nyuma sana? Natumai hiyo Quantum physics, theory of relativity and the like.. hujui chochote kwenye hayo.
Unaweza kutuonyesha uhalisia wa hiyo kanuni katika maisha yetu ya kila siku ?
Watu wanasema bora physics ya zamani kidogo iikuwa inakaribia uhalisia kuliko hii modern physics, wakashindwa kuleta ithibati wakaamua kusema au kuleta uhusiano kati ya Quantum Physics na Consciousness. Akili inakataa kabisa.
Ahsante.
Hivi ndivyo nilivyo mimi. Uzuri huwa najitahidi sana kuelewa na si kukariri. Naweza kukufundisha pia somo hili.
Ahsante.
Ndio maana nikasemq hivi naweza kukufundisha somo hili la Quantum Physics na nikakufundisha somo la Logic pia.Maybe Einstein angeweza.. mimi sio developer wa hio nadharia.. je wewe unaweza kuipinga? Upinge kwa nadharia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh sawa, kesho ndiyo nitakutafuta saa hii nalala.Sijui kama utaelewa, ila najua unapajua pakunipata njoo, tubadilishane mawazo, mimi nimekariri tu wala sio mjuzi wa haya mambo. Nitakupa "link" nacheka sana.
Ndio maana nikasemq hivi naweza kukufundisha somo hili la Quantum Physics na nikakufundisha somo la Logic pia.
Lakini, nilishangaa sana uliposema ya kuwa sijui chochote juu ya somo hili, halafu ukauliza swali la kitoto mno, kwamba nitoe nadharia yangu dhidi ya hiyo, nakufundisha sasa, hakuna theory yoyote inayoweza kukosea theory nyingine wala hakuna theory yoyote ile inayoweza kuifanya theory nyingine iwe ya kweli, sababu katika kila theory kuna "Contingent Fact" ukienda mbele utakuta "Contingent Fact" nyingine mpaka to infinity, na hakuna series ya to Infinity, sababu hili huoyesha uvivu wa kufikiri.
Oohh sawa, kesho ndiyo nitakutafuta saa hii nalala.

Okay umesema nimeuliza swali la kitoto, je ni kweli ni swali la kitoto au perception yako? Pia Mkuu maswali ya kitoto ni yapi na ya kikubwa ni yapi?
Hio knowledge ya Quantum Physics umeitoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fallacy of Quantum Mechanics, yaani naikosoa Madern Physics kwa ujumls, nakuanzia katika historia yake karneya 20 nakuonyesha misingi yake kisha naivunja misingi hiyo.
Katika ulimwengu wa kielimu, ukinyimwa misingi ya elimu husika, ujue ndio umenyimwa elimu husika. Ajabu leo hii humu utawaona
Karibu sana mrembo.