Kumbe Albert Einstein aliwahi "kuliwa kichwa"

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
5,454
2,000
Wakuu,

Yule Manju kama sio mbobezi wa masuala ya Fizikia na hesabu bwana Albert Einstein alipoandika papers zake ili atunukiwe shahada ya Udaktari(PhD) katika chuo kikuu cha Bern, alikataliwa na kuambiwa kwamba alichokiandika ni 'usanii tu' wala hakina uhalisia wa Fizikia wala mashiko hivyo hawezi kutunukiwa shahada hio ya juu kabisa.

Lakini tukumbuke huyo ndiye alichangia theory nyingi katika Fizikia ikiwemo ile formula maarufu ya E=mc².

Albert Einstein alizaliwa mwaka 1879 huko Ujermani na kufariki mwaka 1955 huko Marekani akiwa na miaka 76.

Hii,inatufundisha kwamba hata uwe haukubaliki vipi, hutakiwi kukata tamaa,songa mbele baadae wataona thamani yako.

Jionee kiambatanisho.
Asante.
IMG_20200710_173730.jpg
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
5,454
2,000
Eti "We find your assumptions more artistic than actual physics"! Yaani kwa lugha ya Kiswahili cha leo - "Huu wako ni usanii tu siyo fizikia". Hahahaaaaaaaaaa....

Kumbe! Alizaliwa juzijuzi tu! Sikujua...
Dean hataki mchezo mchezo
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
25,240
2,000
Wakuu,

Yule Manju kama sio mbobezi wa masuala ya Fizikia na hesabu bwana Albert Einstein alipoandika papers zake ili atunukiwe shahada ya Udaktari(PhD) katika chuo kikuu cha Bern, alikataliwa na kuambiwa kwamba alichokiandika ni 'usanii tu' wala hakina uhalisia wa Fizikia wala mashiko hivyo hawezi kutunukiwa shahada hio ya juu kabisa.

Lakini tukumbuke huyo ndiye alichangia theory nyingi katika Fizikia ikiwemo ile formula maarufu ya E=mc².

Albert Einstein alizaliwa mwaka 1879 huko Ujermani na kufariki mwaka 1955 huko Marekani akiwa na miaka 76.

Hii,inatufundisha kwamba hata uwe haukubaliki vipi, hutakiwi kukata tamaa,songa mbele baadae wataona thamani yako.

Jionee kiambatanisho.
Asante.
View attachment 1503017
Kumbe akili za Wilheim na jopo lake ndizo zilikuwa ndogo!
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,151
2,000
Wakuu,

Yule Manju kama sio mbobezi wa masuala ya Fizikia na hesabu bwana Albert Einstein alipoandika papers zake ili atunukiwe shahada ya Udaktari(PhD) katika chuo kikuu cha Bern, alikataliwa na kuambiwa kwamba alichokiandika ni 'usanii tu' wala hakina uhalisia wa Fizikia wala mashiko hivyo hawezi kutunukiwa shahada hio ya juu kabisa.

Lakini tukumbuke huyo ndiye alichangia theory nyingi katika Fizikia ikiwemo ile formula maarufu ya E=mc².

Albert Einstein alizaliwa mwaka 1879 huko Ujermani na kufariki mwaka 1955 huko Marekani akiwa na miaka 76.

Hii,inatufundisha kwamba hata uwe haukubaliki vipi, hutakiwi kukata tamaa,songa mbele baadae wataona thamani yako.

Jionee kiambatanisho.
Asante.
View attachment 1503017
NI wivu tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom