Mind uploading: Je, hii project ni suluhisho la kutokufa na kuishi milele mpaka kufikia 2045?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Wasalaam,

FC1B538A-C77B-4913-A978-234737D74825.jpeg

Hofu ya upweke ni hofu ya kawaida sana maishani, na sote tunapitia hilo kwa kulazimishwa kujitenga na umbali wa kijamii. Kwa kuwa wanadamu ni "wanyama wa kijamii", ina maana kwamba tunaweza kujisikia furaha tu wakati wa kuwa sehemu miongoni mwa sehemu ya jamii.

Lakini, hofu ya kuzeeka na hofu ya kifo pia ni ya juu zaidi katika orodha ya hofu za kawaida na ambazo huathiri maisha ya watu kwa umri wote.

Kama tunavyoona roboti, lina bahati ya kutokuwa na shida kama hizo za kuzeeka na kufa, lakini je ni kwamba tunaweza kufikia pointi amabayo ni juhudi za wanasayansi za kuwafanya wanadamu kutokufa??

MBINU ZA KUSAYANSI ZA KUTOKUFA

126FB866-D6D2-4F2B-99DB-486AB343E989.jpeg
Tunapozungumza juu ya kutokufa kwa mtazamo wa kisayansi, ni muhimu kutofautisha kati ya ufafanuzi wa kisayansi na ule wa kidini, ingawa tunaweza kupata kupata ya kwamba zote mbili zinatokana na vyanzo sawa.
Katika sayansi tunaweza kupata makundi makubwa mawili;

-Kutokufa Kibiolojia,

Hii ni ile ambayo inahusu zaidi teknolojia za upanuzi wa maisha na kuzuia au kupunguza kasi ya kuzeeka na Kutokufa (kidijitali) zaidi ambayo hii inadeal na ubadilishaji wa akili na uhamishaji wa hali ya kawaida ya ubongo kutoka kwenye ubongo wa mwanadamu hadi njia mbadala nyingineyo (yaani kompyuta) inayotoa utendajikazi sawa na ubongo wa mwanadamu kikawaida

Kwa ufanyaji kazi wa mchakato huo inawezekana kubadili mfumo halisi wa ubongo (kidijitali) zaidi na kurudi katika ufanyaji kazi wa kawaida kama awali, hii pengine itatoa majawabu ya kutokufa kwa ubongo wetu asilia, kama ilivyotabiriwa na kuhubiriwa na watu kama vile Ray Kurzweil, mvumbuzi, na mkurugenzi wa uhandisi kutoka 'Google'.

1B2D3B42-626E-45B8-9694-9134309B4C8E.jpeg

RAY KURZWEIL

Kubadili mfumo wa ubongo kwa 'Mind uploading' inaweza kuonekana kuwa sawa na formula ya Imani za kidini za maisha ya baada ya hapa duniani huko akhera nadhani hapo kidogo utakuwa umepata uelewa, lakini pia hili lilikuwa ni lengo la mwisho la harakati za Transhumanism.

Kwa maneno rahisi, Transhumanism ina maana
"Zaidi ya Ubinadamu wa kwaida".

Kulingana na Zoltan Istvan, Mwanahabari wa Transhumanist, Mwandishi wa Habari, na Mjasiriamali, ambaye unaweza kumjua kama Mgombea Urais wa Marekani wa Libertarian 2020, anasema

"imani au nadharia kwamba jamii ya binadamu inaweza kubadilika zaidi kutoka katika mapungufu yake ya sasa ya kimwili na kiakili, hasa kwa njia ya sayansi na teknolojia ikawa tofauti kabisa na kawaida hii ya sasa"!

Lakini, kabla ya kuzama katika tafakuri fulani katika siku zijazo, hebu turudi nyuma na tuone sayansi inasema nini kuhusu kuzeeka, mbali na baadhi ya madawa, mafuta na surgery mbalimbali za kurejesha ujana kwa matibabu ya kawaida , tumepata kuona watu maarufu wengi wakifanya surgery ili kurudisha sura zao katika hali ya ujana.

Kutokufa kwa Kibiolojia (Je, Wanadamu Huzaliwa Ili Kufa)

Sote aghalabu tunatambua kwamba kufa ni sehemu isiyoepukika ya maisha na hakuna njia ya kibiolojia kwa mwanadamu ya kuishi milele.

Lakini, hio itakataliwa kabisa ikiwa utamuuliza Dk Aubrey de Grey, Mtaalamu wa Biogerontologist na Afisa Mkuu wa Sayansi wa wa Utafiti wa SENS, utafiti ambao uliamua kuleta ajenda inayoitwa
"Vita dhidi ya Uzee".

Katika miaka yake ya mwisho, alitaka kuleta mabadiliko kwa wanadamu na kwamba umri wa kupigana na uzee ilikuwa njia bora ya kufanya mwanadamu adumu milele.

4EB0F09C-B7AA-4A29-85EF-1283C8E06F36.jpeg

DR. DE GRAY

De Gray anasema kwamba wanasayansi wamekuwa wakitafuta suluhu kwa namna isiyofaa na katika mkakati wake wa kupambana na uzee alilinganisha mwili wa binadamu na gari linaloharibika kwa muda, mwili unapofanya kazi kwa kawaida, hujilimbikiza uharibifu ambao unaweza kuvumiliwa kwa muda, lakini hatimaye hutupeleka kwenye kushuka kwa kiwango cha utendaji kazi kwa kasi, lakini hii inaweza kurekebishwa kwa muda usiojulikana.

Alitenga sababu saba zinazojulikana za kuzeeka na kudai kwamba tunazeeka kwa sababu mifumo mingi ya kimwili inayounda mwili wetu huanza kushindwa kwa wakati mmoja na kwa njia zenye madhara.

De Gray alisema kuwa mtu wa kwanza kuishi hadi 1000 tayari amezaliwa.
Tena Katika siku hizi za janga hili la kidunia ambapo wazee wanakufa kutokana na hivi virusi, mtu ambaye anaahidi uwezekano wa "ulimwengu usio na ugonjwa lakini unaambatana na umri,kwamba ni pumzi tena ya hewa safi na labda ndiyo tumaini pekee tutakaloohitaji

Lakini, basi swali linabaki

"Je, rasilimali zipi za ziada zinazohitajika kusaidia wanadamu aweze kuishi miaka 200 au 300 hata 500? Ni zipi?

Sayari yetu kama ilivyo kuna watu zaidi ya bilioni 7 na range ya kuishi ni takriban miaka 60-70 kwa wastani.
Na tayari inakabiliwa na matatizo makubwa chungu nzima kama chakula, maji, na ongezeko la joto duniani.
De Gray ana jibu la kielimu na la kushawishi kidogo juu ya hilo .....(hata hivyo,hiyo ni mada ya wakati mwingine)

Lakini, vipi ikiwa ningekuambia kwamba kuna njia ya kufikia kutokufa bila mahitaji yoyote ya rasilimali za kimwili???
Lazima utaniona kama juha mmojawapo ambaye nazungumzia fiction za filamu ambazo umekuwa ukitazama kule Netflix, sivyo??

Digital Immotality
(Backup Brains and virtual Humans)

Kuna Mstari mwembamba sana hutofautisha kati ya sayansi ngumu ambayo watu hushindwa kuing'amua na hadithi za kisayansi.
Digital immmotality inateleza mahali kuleta jawabu tunalohotaji

Kwa wengi wetu, pengine itakuwa ni hali ya dhahania, lakini kwa waliokaa na waliohudhuria katika Kongamano la Kimataifa la ‘Global Future 2045 International Congress’, wao wanaona hiyo iko karibu zaidi na ukweli kuliko vile tunavyoweza kufikiria sisi.

Kufikia kutokufa au umilele kwa namna hii ni mchakato wenye hatua mbili

Kuhifadhi kumbukumbu na kuweka watu kwenye dijitali kwa ku-upload mind zao

Lakini, kabla ya kufikiria kwamba hizi ni movie au dhahnia na visasili vya kule sekondari lazima tuelewe jinsi yote haya yalivyoanza. Hayo yote huanza na idadi ya transistors, lakini tutafika kuliongea hilo hapo baadaye!!

Katika siku hizi ni wachache sana waliofikiria au kuwazia matumizi ya teknolojia na namna ingebadilisha jamii.
Historia imejaa matukio ambayo teknolojia imeyabadilisha kabisa maisha ya watu kwa kiasi kubwa.
Aina hizi za mabadiliko makubwa huitwa 'Singurality' maneno ambayo asili yake yanatokana na hisabati.

Singurality ni hatua ya dhahania ya siku zijazo , ambapo ukuaji wa kiteknolojia unakuwa usiodhibitiwa na usioweza kutenduliwa na yoyote wala chochote isipokuwa teknolojia yenyewe, na kusababisha mabadiliko yasiyotarajiwa kwa ustaarabu wa binadamu.

John von Neumann, Mtaalamu wa Hisabati ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Hungary, na mtaalamu wa Fizikia, Mwanasayansi wa Kompyuta, na Polymath, alikuwa mtu wa kwanza kutumia dhana hiyo katika muktadha wa kiteknolojia, akizungumzia

maendeleo ya kasi ya teknolojia na mabadiliko katika mfumo wa maisha ya binadamu, ambayo yanatoa muanga kuhusu kukaribia umoja fulani muhimu katika historia ya jamii ambayo zaidi ya mambo ya wanadamu, kama tunavyojua hayangeweza kutokea”.

Kulingana na Vernor Vinge, mwandishi wa Sayansi ya Kubuniwa na mwanasayansi ambaye alieneza neno na dhana hiyo mnamo 1993, anasema "ndani ya miaka thelathini, tutakuwa na njia za kiteknolojia za kuunda akili ya ubinadamu. Katika muda mfupi baadaye, enzi ya mwanadamu kwisha zitaisha"
Pia alipata kuandika kwamba angeshangaa ikiwa ilitokea maabadiliko hayo yangetokea kabla ya 2005 au baada ya 2030.

MIND UPLOADING

B363502B-0AAF-4C6B-AACD-C1890CAA2021.jpeg

Ray Kurzweil, ambaye tulimtaja hapo awali, anatabiri kwamba kufikia 2045 tutapata umoja mkubwa zaidi wa kiteknolojia katika historia, ambapo akili ya mashine(kompyuta) itapita akili ya binadamu. Na wanadamu wangeweza kupata umilele (wa kidijitali) kwa kuweka akili zao kwenye kompyuta.

Kurzweil anaamini kwamba tutafikia Umoja kwa kuunda Ujasusi wa Artificial Super-Intelligence (ASI). AI ya kiwango hicho inaweza kufikiria na kuleta mawazo ambayo hakuna mwanadamu aliyewahi kufikiria hapo awali.

Kulingana na Kurzwill na kulingana na makadirio ya kihafidhina ya kiasi cha hesabu unachohitaji ili kuiga ubongo wa binadamu kiutendaji, tutaweza kupanua wigo wa akili zetu mara mabilioni”.
Kumbuka yote hiyo ilianza na transistors mbili!

Mojawapo ya law zinazounga mkono dhana hiyo ni 'Law ya Moore', ambayo inasema kwamba kwa wastani, nguvu za kompyuta, au kwa usahihi zaidi, idadi ya transistors kwenye nyaya zilizounganishwa, huongezeka mara nguvu zaidi takriban kila baada ya miaka miwili.

Hiyo inamaanisha kompyuta binafsi zenye nguvu nyingi zaidi na kwa kutumia pesa kidogo , Kurzweil alionyesha jambo hilo kwa grafu zinazoonyesha kupanda juu kwa teknolojia mbalimbali ambako hakuwezi kubadilika.

Tutazidi kuwa sio wa kibaolojia hadi mahali ambapo sehemu isiyo ya kibaolojia itatawala na sehemu ya kibaolojia itakuwa sio muhimu tena" alieleza Kurzwill.

Kutokufa (kidijitali) tumeshalisema tayari, sivyo?

Lakini, kama tulivyosema mwanzoni, Mind uploading ni hatua ya kwanza tu katika mchakato, mara tu tunapokuwa na ubongo mahali ,tufanye avatar iishi ili tuweze kuwasiliana nayo.

Kwa mara ya kwanza katika maisha yetu, tutaweza kuzungumza na sisi wenyewe nje ya sisi wenyewe, yaani utawasilina nawewe mwenyewe nje ya wewe.

59C59000-A4E4-459E-8A93-4246B1125AF8.jpeg

Kuna mwanamke huyu mrembo anayeitwa Bina
Huyu ni copy ya roboti inayomilikiwa na Martine Rothblat ambaye alimtumia mke wake kama kielelezo cha roboti hiyo,
Rothblatt ni mwanasheria, mwandishi, mjasiriamali, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kibayoteki ya 'United Therapeutics Corp'. Alianzisha wazo la "Mindclones" na matoleo ya (kidijitali) ya wanadamu ambayo yatamwezesha mwanadamu kuishi milele.

EB1717DF-D2E6-4D64-9BF4-5CA8D25C4198.jpeg

76559BE6-2343-4FEF-A351-BBB47AA733E5.jpeg

Alielezea jinsi viini vya akili vinaundwa
kutoka kwa "Mindfile", ni moja ya kazi ya mtandaoni inayouhusiana na haiba zetu.
Faili hii ya Mind itaendeshwa kwenye "Mindware",hio ni moja ya programu ya ufahamu.

Kwa hivyo, iwe unaamini katika muktadha wa kidini kwamba tutafikia kutokufa mpaka tufe kwanza na kwa kuonyesha wema au kufuata sheria za M/mungu, au wewe unaamini katika siku zijazo za kutokufa kwa binadamu zinazowezeshwa na sayansi na teknolojia,

jambo la kwanza la lazima ni kuunda maisha yenye thamani.

N.B
kukumbuka.
Hakika we ishi ila kifo cha kukumbuka daima.

Da Vinci XV

925FD345-18B2-4FC2-8134-924263FA5F19.jpeg

E612B355-44B7-494D-B2E4-3F1B0061A3FA.jpeg

334CDAF4-AD01-4FCA-80E9-6F3870EAA534.jpeg
 
Haiwezi kuwa ndiyo suruhishi la kutokufa kwasababu to be alive ni zaidi ya kuwa na kumbukumbu.
 
Bina Robot, huyu ni robot wa pili sasa namskia baada ya sophia

Nacho jiuliza kwanini marobot wote wawe wakike?
 
Na huyu bina ni mwalimu kabisa, anawafundisha wanafunzi

Kuhusu wote kuwa wakike ilo sasa ndo kitendawili huenda kuna sababu
 
Wasalaam,

Hofu ya upweke ni hofu ya kawaida sana maishani, na sote tunapitia hilo kwa kulazimishwa kujitenga na umbali wa kijamii. Kwa kuwa wanadamu ni "wanyama wa kijamii", ina maana kwamba tunaweza kujisikia furaha tu wakati wa kuwa sehemu miongoni mwa sehemu ya jamii.

Lakini, hofu ya kuzeeka na hofu ya kifo pia ni ya juu zaidi katika orodha ya hofu za kawaida na ambazo huathiri maisha ya watu kwa umri wote.

Kama tunavyoona roboti, lina bahati ya kutokuwa na shida kama hizo za kuzeeka na kufa, lakini je ni kwamba tunaweza kufikia pointi amabayo ni juhudi za wanasayansi za kuwafanya wanadamu kutokufa??

MBINU ZA KUSAYANSI ZA KUTOKUFA

Tunapozungumza juu ya kutokufa kwa mtazamo wa kisayansi, ni muhimu kutofautisha kati ya ufafanuzi wa kisayansi na ule wa kidini, ingawa tunaweza kupata kupata ya kwamba zote mbili zinatokana na vyanzo sawa.
Katika sayansi tunaweza kupata makundi makubwa mawili;

-Kutokufa Kibiolojia,

Hii ni ile ambayo inahusu zaidi teknolojia za upanuzi wa maisha na kuzuia au kupunguza kasi ya kuzeeka na Kutokufa (kidijitali) zaidi ambayo hii inadeal na ubadilishaji wa akili na uhamishaji wa hali ya kawaida ya ubongo kutoka kwenye ubongo wa mwanadamu hadi njia mbadala nyingineyo (yaani kompyuta) inayotoa utendajikazi sawa na ubongo wa mwanadamu kikawaida

Kwa ufanyaji kazi wa mchakato huo inawezekana kubadili mfumo halisi wa ubongo (kidijitali) zaidi na kurudi katika ufanyaji kazi wa kawaida kama awali, hii pengine itatoa majawabu ya kutokufa kwa ubongo wetu asilia, kama ilivyotabiriwa na kuhubiriwa na watu kama vile Ray Kurzweil, mvumbuzi, na mkurugenzi wa uhandisi kutoka 'Google'.

View attachment 2035520
RAY KURZWEIL

Kubadili mfumo wa ubongo kwa 'Mind uploading' inaweza kuonekana kuwa sawa na formula ya Imani za kidini za maisha ya baada ya hapa duniani huko akhera nadhani hapo kidogo utakuwa umepata uelewa, lakini pia hili lilikuwa ni lengo la mwisho la harakati za Transhumanism.

Kwa maneno rahisi, Transhumanism ina maana
"Zaidi ya Ubinadamu wa kwaida".

Kulingana na Zoltan Istvan, Mwanahabari wa Transhumanist, Mwandishi wa Habari, na Mjasiriamali, ambaye unaweza kumjua kama Mgombea Urais wa Marekani wa Libertarian 2020, anasema

"imani au nadharia kwamba jamii ya binadamu inaweza kubadilika zaidi kutoka katika mapungufu yake ya sasa ya kimwili na kiakili, hasa kwa njia ya sayansi na teknolojia ikawa tofauti kabisa na kawaida hii ya sasa"!

Lakini, kabla ya kuzama katika tafakuri fulani katika siku zijazo, hebu turudi nyuma na tuone sayansi inasema nini kuhusu kuzeeka, mbali na baadhi ya madawa, mafuta na surgery mbalimbali za kurejesha ujana kwa matibabu ya kawaida , tumepata kuona watu maarufu wengi wakifanya surgery ili kurudisha sura zao katika hali ya ujana.

Kutokufa kwa Kibiolojia (Je, Wanadamu Huzaliwa Ili Kufa)

Sote aghalabu tunatambua kwamba kufa ni sehemu isiyoepukika ya maisha na hakuna njia ya kibiolojia kwa mwanadamu ya kuishi milele.

Lakini, hio itakataliwa kabisa ikiwa utamuuliza Dk Aubrey de Grey, Mtaalamu wa Biogerontologist na Afisa Mkuu wa Sayansi wa wa Utafiti wa SENS, utafiti ambao uliamua kuleta ajenda inayoitwa
"Vita dhidi ya Uzee".

Katika miaka yake ya mwisho, alitaka kuleta mabadiliko kwa wanadamu na kwamba umri wa kupigana na uzee ilikuwa njia bora ya kufanya mwanadamu adumu milele.

View attachment 2035519
DR. DE GRAY

De Gray anasema kwamba wanasayansi wamekuwa wakitafuta suluhu kwa namna isiyofaa na katika mkakati wake wa kupambana na uzee alilinganisha mwili wa binadamu na gari linaloharibika kwa muda, mwili unapofanya kazi kwa kawaida, hujilimbikiza uharibifu ambao unaweza kuvumiliwa kwa muda, lakini hatimaye hutupeleka kwenye kushuka kwa kiwango cha utendaji kazi kwa kasi, lakini hii inaweza kurekebishwa kwa muda usiojulikana.

Alitenga sababu saba zinazojulikana za kuzeeka na kudai kwamba tunazeeka kwa sababu mifumo mingi ya kimwili inayounda mwili wetu huanza kushindwa kwa wakati mmoja na kwa njia zenye madhara.

De Gray alisema kuwa mtu wa kwanza kuishi hadi 1000 tayari amezaliwa.
Tena Katika siku hizi za janga hili la kidunia ambapo wazee wanakufa kutokana na hivi virusi, mtu ambaye anaahidi uwezekano wa "ulimwengu usio na ugonjwa lakini unaambatana na umri,kwamba ni pumzi tena ya hewa safi na labda ndiyo tumaini pekee tutakaloohitaji

Lakini, basi swali linabaki

"Je, rasilimali zipi za ziada zinazohitajika kusaidia wanadamu aweze kuishi miaka 200 au 300 hata 500? Ni zipi?

Sayari yetu kama ilivyo kuna watu zaidi ya bilioni 7 na range ya kuishi ni takriban miaka 60-70 kwa wastani.
Na tayari inakabiliwa na matatizo makubwa chungu nzima kama chakula, maji, na ongezeko la joto duniani.
De Gray ana jibu la kielimu na la kushawishi kidogo juu ya hilo .....(hata hivyo,hiyo ni mada ya wakati mwingine)

Lakini, vipi ikiwa ningekuambia kwamba kuna njia ya kufikia kutokufa bila mahitaji yoyote ya rasilimali za kimwili???
Lazima utaniona kama juha mmojawapo ambaye nazungumzia fiction za filamu ambazo umekuwa ukitazama kule Netflix, sivyo??

Digital Immotality
(Backup Brains and virtual Humans)

Kuna Mstari mwembamba sana hutofautisha kati ya sayansi ngumu ambayo watu hushindwa kuing'amua na hadithi za kisayansi.
Digital immmotality inateleza mahali kuleta jawabu tunalohotaji

Kwa wengi wetu, pengine itakuwa ni hali ya dhahania, lakini kwa waliokaa na waliohudhuria katika Kongamano la Kimataifa la ‘Global Future 2045 International Congress’, wao wanaona hiyo iko karibu zaidi na ukweli kuliko vile tunavyoweza kufikiria sisi.

Kufikia kutokufa au umilele kwa namna hii ni mchakato wenye hatua mbili

Kuhifadhi kumbukumbu na kuweka watu kwenye dijitali kwa ku-upload mind zao

Lakini, kabla ya kufikiria kwamba hizi ni movie au dhahnia na visasili vya kule sekondari lazima tuelewe jinsi yote haya yalivyoanza. Hayo yote huanza na idadi ya transistors, lakini tutafika kuliongea hilo hapo baadaye!!

Katika siku hizi ni wachache sana waliofikiria au kuwazia matumizi ya teknolojia na namna ingebadilisha jamii.
Historia imejaa matukio ambayo teknolojia imeyabadilisha kabisa maisha ya watu kwa kiasi kubwa.
Aina hizi za mabadiliko makubwa huitwa 'Singurality' maneno ambayo asili yake yanatokana na hisabati.

Singurality ni hatua ya dhahania ya siku zijazo , ambapo ukuaji wa kiteknolojia unakuwa usiodhibitiwa na usioweza kutenduliwa na yoyote wala chochote isipokuwa teknolojia yenyewe, na kusababisha mabadiliko yasiyotarajiwa kwa ustaarabu wa binadamu.

John von Neumann, Mtaalamu wa Hisabati ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Hungary, na mtaalamu wa Fizikia, Mwanasayansi wa Kompyuta, na Polymath, alikuwa mtu wa kwanza kutumia dhana hiyo katika muktadha wa kiteknolojia, akizungumzia

maendeleo ya kasi ya teknolojia na mabadiliko katika mfumo wa maisha ya binadamu, ambayo yanatoa muanga kuhusu kukaribia umoja fulani muhimu katika historia ya jamii ambayo zaidi ya mambo ya wanadamu, kama tunavyojua hayangeweza kutokea”.

Kulingana na Vernor Vinge, mwandishi wa Sayansi ya Kubuniwa na mwanasayansi ambaye alieneza neno na dhana hiyo mnamo 1993, anasema "ndani ya miaka thelathini, tutakuwa na njia za kiteknolojia za kuunda akili ya ubinadamu. Katika muda mfupi baadaye, enzi ya mwanadamu kwisha zitaisha"
Pia alipata kuandika kwamba angeshangaa ikiwa ilitokea maabadiliko hayo yangetokea kabla ya 2005 au baada ya 2030.

MIND UPLOADING

Ray Kurzweil, ambaye tulimtaja hapo awali, anatabiri kwamba kufikia 2045 tutapata umoja mkubwa zaidi wa kiteknolojia katika historia, ambapo akili ya mashine(kompyuta) itapita akili ya binadamu. Na wanadamu wangeweza kupata umilele (wa kidijitali) kwa kuweka akili zao kwenye kompyuta.

Kurzweil anaamini kwamba tutafikia Umoja kwa kuunda Ujasusi wa Artificial Super-Intelligence (ASI). AI ya kiwango hicho inaweza kufikiria na kuleta mawazo ambayo hakuna mwanadamu aliyewahi kufikiria hapo awali.

Kulingana na Kurzwill na kulingana na makadirio ya kihafidhina ya kiasi cha hesabu unachohitaji ili kuiga ubongo wa binadamu kiutendaji, tutaweza kupanua wigo wa akili zetu mara mabilioni”.
Kumbuka yote hiyo ilianza na transistors mbili!

Mojawapo ya law zinazounga mkono dhana hiyo ni 'Law ya Moore', ambayo inasema kwamba kwa wastani, nguvu za kompyuta, au kwa usahihi zaidi, idadi ya transistors kwenye nyaya zilizounganishwa, huongezeka mara nguvu zaidi takriban kila baada ya miaka miwili.

Hiyo inamaanisha kompyuta binafsi zenye nguvu nyingi zaidi na kwa kutumia pesa kidogo , Kurzweil alionyesha jambo hilo kwa grafu zinazoonyesha kupanda juu kwa teknolojia mbalimbali ambako hakuwezi kubadilika.

Tutazidi kuwa sio wa kibaolojia hadi mahali ambapo sehemu isiyo ya kibaolojia itatawala na sehemu ya kibaolojia itakuwa sio muhimu tena" alieleza Kurzwill.

Kutokufa (kidijitali) tumeshalisema tayari, sivyo?

Lakini, kama tulivyosema mwanzoni, Mind uploading ni hatua ya kwanza tu katika mchakato, mara tu tunapokuwa na ubongo mahali ,tufanye avatar iishi ili tuweze kuwasiliana nayo.

Kwa mara ya kwanza katika maisha yetu, tutaweza kuzungumza na sisi wenyewe nje ya sisi wenyewe, yaani utawasilina nawewe mwenyewe nje ya wewe.

Kuna mwanamke huyu mrembo anayeitwa Bina
Huyu ni copy ya roboti inayomilikiwa na Martine Rothblat ambaye alimtumia mke wake kama kielelezo cha roboti hiyo,
Rothblatt ni mwanasheria, mwandishi, mjasiriamali, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kibayoteki ya 'United Therapeutics Corp'. Alianzisha wazo la "Mindclones" na matoleo ya (kidijitali) ya wanadamu ambayo yatamwezesha mwanadamu kuishi milele.

View attachment 2035538

Alielezea jinsi viini vya akili vinaundwa
kutoka kwa "Mindfile", ni moja ya kazi ya mtandaoni inayouhusiana na haiba zetu.
Faili hii ya Mind itaendeshwa kwenye "Mindware",hio ni moja ya programu ya ufahamu.

Kwa hivyo, iwe unaamini katika muktadha wa kidini kwamba tutafikia kutokufa mpaka tufe kwanza na kwa kuonyesha wema au kufuata sheria za M/mungu, au wewe unaamini katika siku zijazo za kutokufa kwa binadamu zinazowezeshwa na sayansi na teknolojia,

jambo la kwanza la lazima ni kuunda maisha yenye thamani.

N.B
kukumbuka.
Hakika we ishi ila kifo cha kukumbuka daima
.

Da Vinci XV

View attachment 2035515

View attachment 2035531

View attachment 2035537
Tunakoelekea definition ya death itabadilika.
 
Nilikuwa na hii documentary sikumbuki jina lake lakini kama 2045 initiative ndo inaongelea hizi mambo, alikuwa narrator joe Rogan
 
What living in our bodies are not our minds but Soul&spirit.

Sas wanaposhurutisha mtu aishi miaka mingi ni lazima wazishurutishe nafsi&roho zibaki milele ktk mwili wa mwanadamu or otherwise watakuwa wanafanya childish game na kupoteza muda wao bure,

yaan ucopy mawazo& akili za mtu kwa kutegema uje umtengeneze mtu huyu huyu hata akifa kwa kuyavumbua mawazo,fikra na akili zake? Hapo si watakuwa wanatengeneza another Artificial robot looks like the dead man na robot huyo atakuwa akijaribu kuact kama huyo marehemu but not at 100%.

Inshort immortality for human is impossible untill Capturing of soul and spirit will be possible....
 
Ni hatua nzuri kuelekea hicho unacho kisema soul n spirits hebu fikiria akina kinjektile wakiamka leo eti wanakuta kuna kitu kinaitwa video call kiganjani watashagaaje?
 
What living in our bodies are not our minds but Soul&spirit.

Sas wanaposhurutisha mtu aishi miaka mingi ni lazima wazishurutishe nafsi&roho zibaki milele ktk mwili wa mwanadamu or otherwise watakuwa wanafanya childish game na kupoteza muda wao bure,

yaan ucopy mawazo& akili za mtu kwa kutegema uje umtengeneze mtu huyu huyu hata akifa kwa kuyavumbua mawazo,fikra na akili zake? Hapo si watakuwa wanatengeneza another Artificial robot looks like the dead man na robot huyo atakuwa akijaribu kuact kama huyo marehemu but not at 100%.

Inshort immortality for human is impossible untill Capturing of soul and spirit will be possible....
Nafikiri niko 50/50 na wewe pia namtoa mada, nikwamba kwa uzoefu wangu nilioishi duniani mpaka sasa kuna mara kibao nimebaini kuwa binadamu nje ya kuwa kila mara anaingiza mawazo mapya na ufahamu tofauti na ule wa mwanzo akilini mwake, bado anakabiliwa na hali ya kufanya mambo ya kujirudia rudia kwa asilimia kubwa maishani mwake.

Na kwa kuwa ubongo wa mwanadamu unamudu kutunza data kubwa mno za taarifa, mpaka kufikia umri wa utu uzima mwanadamu anakuwa ana jipya sana juu ya mambo mengi ya kujifunza mpka atakapofikwa na mauti, cha zaidi ni kurudia vingi ambavyo huwa tiyari katika memory na mazoea yake ya kila siku.

Hivyo kuna possibility kama kuna teknolojia yakuweza kuamisha data zote zilizohifadhiwa kwenye ubongo kwenye kipindi chote cha uhai wa mwanadamu nakuja kupandikizwa kwingine basi hisia zangu unituma kuwa binadamu huyu hawezi kuwa roboti kwa asilimia kubwa,

Bali atakuwa binadamu mwenye kuishi kwa imaginations na conservative, asiye rahisi kujifunza kwa haraka na wakati mwingine uchelewa kutoa maamuzi ya haraka mpaka a-recall kwanza hilo jambo, uishi kimwili katika wakati uliopo ila kiakili uishi maisha yaliopita katika hali timilifu nadhani umenielewa ninachomaanisha kwa kusema hivyo.

Siyo rahisi ukambaini mwanadamu huyu kama siyo perfect asilimia zote labda mpaka umpe task yakufanya jambo jipya ambalo hapo kabla owner wa ubongo huo hakuwai kufanya, kumbuka ubongo huwa haupotezi kumbukumbu hata moja tunavyodhani bali uhifadhi taarifa zote tokea ukiwa mdogo mpaka utu uzima wako, suala la kukumbuka au kusahau ni juu yako kuwa na uvivu wa kupekua mafaili yako mwenyewe uliyohifadhi katika library ya ubongo wako.

Kipi kinakupa mashaka sana kuwa hili haliwezekani ambalo mimi silipi sana uzito?

Ni kwa kuwa binadamu wote (primitive/ordinary humans ambao bado wanakabiliwa na reincarnation ya hapa kwenye lower physical plane) hata sasa kwa wale mliobahatika kwa kiasi chake kujua machache kati ya yale mengi yanayoendelea kule kwenye ulimwengu mwingine wa kiroho tunatambua kuwa tunaishi katika wakati uliopita katika present ya illusion ya sasa kama hili limewezekana kwanini hili linalojadiliwa hapa lishindikane?
 
Shukraani kwa mchango mkuu🙏
 
Prof Michio Kaku Physics of the future.
2:Future of Humanity.

Yuval noah Harar -Homo Deus
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom