- wamekuwa defined kutokana na akili zao.
Kuna mtu anamuonea wivu Mwalimu? Natamani kumjua huyo mtuTatizo wivu. Mm ni mwl lkn naenjoy maisha balaa na mm pamoja na wensangu tuna maendeleo makubwa tu sana. Kikubwa malengo. Mm hua sibabishwi Wala kutishwa na maneno ya wqnaoponda walimu. Wao waendelee tu kutuponda hakuna tatizo lolote
Wana upeo mdogo sanaYanawakuta kutokana na aina ya reasoning yao, kuna muda unasoma baadhi ya mawazo yao kwenye mijadala hadi unajiuliza āhuyu ndiye anafundisha wanetu?ā
Wengi wa wanaoandika hivyo wako obsessed,wengine wanafurahisha genge tu na wengine ni walimu wanafanya satire tu.Ndugu wana jukwaa hili hbr za Jumapili! Ndg zangu nmekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wmekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika hbr ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki ? Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia. Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
Mkuu inabidi uje na andiko maalumWana upeo mdogo sana
Ukiona unamdharau mwalimu Basi ujue we ndo huna akili au pengine hujui hata maana ya mwalimu- wamekuwa defined kutokana na akili zao.
Wasikuumize moyo,roho na hata akili.Kaa uelewe tu ni kwamba walimu wanapendwa.Changamoto ni kuwa wanataniwa sana.Down-under walimu wanapendwa sana.Ndugu wana jukwaa hili hbr za Jumapili! Ndg zangu nmekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wmekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika hbr ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki ? Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia. Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
WaLIMu ndio watu pekee wanaƧharazwa bakora hadharani na wanasiasa kwa kuwa kwanza WaLIMu hawajiamini, pili hawana kauli thabiti, wanasukumwa na kupelekeshwa kama unyasi Mbele ya upepo. Tatu ni wanafiki sana na ni wazandiki.Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili!
Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi?
Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki?
Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia.
Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
Una maanisha laki nne na elfu themanini au laki laki nne na elfu themanini mkuu?Sasa mshahara wa laki 480,000 utakusaidia nn?
CC; Katelephone Mmepewa-jaaliya.WaLIMu ndio watu pekee wanaƧharazwa bakora hadharani na wanasiasa kwa kuwa kwanza WaLIMu hawajiamini, pili hawana kauli thabiti, wanasukumwa na kupelekeshwa kama unyasi Mbele ya upepo. Tatu ni wanafiki sana na ni wazandiki.
Hasira zao wanaziondolea kwa watoto wa masikini, yaani WaLIMu ndio wanawabikiri mabinti zenu na kuwalawiti watoto wenu wa kiume