hahahaaha phlagiey sawa mzee
we call it morphological point of viewNimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips na makalio makubwa huku wakitoa udenda wa matamanio
Nimeshuhudia pia wanawake wakiwasifia wanawake wenzao wenye hips na makalio makubwa kuwa wana shepu bomba
Sura kifua mikono na miguu huwa havipewi umuhimu mkubwa kwenye kusifia shepu ya mtu
Najiuliza tuu kwani shepu ni hips na makalio tuu ?
Ndo maanake, wasio na makalio na hips ni shapeless.
Huyu mrembo atakua mtunisha misuli
Leo ni shape day.
Maadili yangeruhusu kuna tam kuliko hizo ! Japo Tyta mmh hiyo shepu ya tembo lol..!
kwisha kazi yangu mie!
Are you kidding me?