Haki ya nani, we sio mzima we ni mwehu, oh samahani Mamndenyi kwa kukutukania mumeo!Unajua makalio na hips ndio vitu pekee jirani na eneo ilipopotelea ndege ya Malaysia......
Lakini shepu ni zaidi ya hayo
Leo ni shape day.
Uwiii sasa hapo utaingiza wapi?? Size inch10 inahusika
Nimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips na makalio makubwa huku wakitoa udenda wa matamanio
Nimeshuhudia pia wanawake wakiwasifia wanawake wenzao wenye hips na makalio makubwa kuwa wana shepu bomba
Sura kifua mikono na miguu huwa havipewi umuhimu mkubwa kwenye kusifia shepu ya mtu
Najiuliza tuu kwani shepu ni hips na makalio tuu ?
duh sie wengine tuna figa sijui ndo namba mojaa
I like the shoes tu kwenye avatar yako
asee you like the shoes tu, you dont like my shape!!!
Mimi Napenda Figa Namba Moja
Heels Shoes ndio ugonjwa wangu mimi ,hiyo shepu yako baki nayo...niwaachie wengine