Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,768
njoo chaputa, achana na izo used
labda upate bikra
Wapo baadhi ya malaya wanaokiri wazi wazi kuwa hawahitaji ndoa, ni suala la kukubaliana naye bei mnaenda kutiana unamlipa kila mmoja anashika njia yake
Unataka kupotezea watu muda
Si ukatafute wanaojiuza wapo wengi tuSio kupoteza muda..! Nataka wa kufurahia muda huu wa Ujana naye.
Hakuna kisicho jaribiwa...Taarifa zangu fupi
Male (Kanda ya Ziwa)
Light skinned
Middle size height
Bachelor degree holder
Medical personnel
Employed
Usije kunijaribu pls..!
Hakuna kisicho jaribiwa...
Taarifa zako zirefushe kidogo pls...itasaidia height yako pia....
Na wewe tafuta wenzio wa dating for fun ..
Hapo hakuna shida
Huo SIO MPANGO WA MUNGU.. Tusipende kuhalalisha vitu kwa tamaa na mwelekeo wa dunia.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Si ukatafute wanaojiuza wapo wengi tu
Hapa pia Anatafuta. .Si ukatafute wanaojiuza wapo wengi tu