Kwani lazima kila mahusiano ya kimapenzi yaishie kwenye ndoa?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
Umenifurahisha sana.

Mpigie na bonge la mtama.

IMG_0297.jpg

Vilee Kerucee anavyo attack Nyuzi za Redpanther
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,617
2,000
You think if it worked for us sisi wanawake tungeikataa? We are not that stupid.

Dating for fun? Fun yote mnayo nyie wanaume. Nyie hamhesabiwi mileage na wala miili hata CV zenu haziharibiki kwa kutumika kingono.

Hiyo fun hapo ni ya kuchakazwa tu na mwanamke anaejielewa hawezi kukubali.

Huo mkataba fungeni na manungayembe wenzenu.

Kenge nyie.
Hahahahah access denied
 

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
You think if it worked for us sisi wanawake tungeikataa? We are not that stupid.

Dating for fun? Fun yote mnayo nyie wanaume. Nyie hamhesabiwi mileage na wala miili hata CV zenu haziharibiki kwa kutumika kingono.

Hiyo fun hapo ni ya kuchakazwa tu na mwanamke anaejielewa hawezi kukubali.

Huo mkataba fungeni na manungayembe wenzenu.

Kenge nyie.Yerewiiiiiii Mama Clare Umefika mitaa hii. Enewei, Kwani si niwewe mwenyewe ulinijibu kwenye uzi wangu fulani humu Jf kuwa sio kila mwanamke anataka kuoelewa au Anaona ndoa kama tunu.

Ukaenda mbali zaidi ukaandika kuwa kila mmoja ana malengo yake huenda ndoa sio priority zake. Hao ambao ndoa sio priority ambao niwasimbe tujumuike tufurahie Maisha akipata kibwana Kinachotaka kuoa ananiambia tu mimi sina Shida, No strings Attached.
 

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
Hahahah ukizungumza ukweli humpati demu hata wa kupiga nae story ila weka mipango hewa mbona mademu utawakimbia humu!

Ndio hivyo Mkuu, Going back to the past, niliwahi tafuta Mchumba nikaweka lengo kubwa liwe ndoa. Ila baadae akaondoka nikaona si mbaya maana amefuata hisia zake.This was back then, With my Last ID before got into this ID.

Na walikuwa wengi sana kwa Inbox yangu sasa leo kuwa Honest inawachoma. Hapa nahitaji somebody to enjoy ourselves mennn, kama akiona yamfaa kufikia maazimio ya milenium hakuna shida ila msingi mkuu ni Fun.

Yaani nimeweka ukweli ila sema nini @Karucee ananichawia huyu mshikaji. Daah
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,617
2,000
Ndio hivyo Mkuu, Going back to the past, niliwahi tafuta Mchumba nikaweka lengo kubwa liwe ndoa kwao mbaya maana amefuata hisia zake.This was back then, With my Last ID before got into this ID.
Yaani nimeweka ukweli ila sema nini @Kerucee ananichawia huyu mshikaji. Daah
Pambana mzee
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
20,928
2,000
Shoga anataka kuolewa ??

Anyway, mie simaanishi kabisa hakuna kuoana ila baadae huko. Sasa mtu mko na wiki tatu tu anakomalia kuongelea mambo ya harusi sijui ndoa angejua sipendi basi tu.
Yaani mtu hana hata wiki 56 unaanza kuzungumza ndoa, very demoralizing.
Km hutaki mambo ya ndoa, deal na wadangaji/Malaya,
Mashoga wanaolewa siku hizi, wee uko dunia ipi?
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
20,928
2,000
Icho unachokitaka hApa nchini kwetu hakipo,
Na hakiwezi kuwepo kwasababu huo sio utamaduni wetu.

Kwa vigezo ulvyotaja,
Hakuna mwanamke wa kawaida anaeweza kukubali MAHUSIANO ya Ivyo ya kupotezeana muda, umri unaenda, analiwa bure bure TU na hamna commitment yoyote.

(HATA ANGEKUA ni BINTI YAKO WA KUMZAA, sidhani wewe Kama Mzazi unaweza kukubali huo upuuzi)

Vinginevyo, ukiona kakubali
Jua Kuna namna kaona anafaidika na mahusiano Ayo Kama nilivokuelekeza kwa wale wa Exotic wanaokuuzia muda wa mahusiano.

Au weka Dau Mezani wadada wa JF wajichekeche watafidia vipi huo MDA utakaowapotezea Kwenye Ayo mahusiano yako unayoyataka.

Vinginevyo,
Kama unataka starehe ya bure
bure wacheki NSSF wakupe wanawake wastaafu na wajane wenye pensheni yao wanaohitaji kampani tu ya kumalizia uhai uliobakia duniani.
 

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
Km hutaki mambo ya ndoa, deal na wadangaji/Malaya,
Mashoga wanaolewa siku hizi, wee uko dunia ipi?

Mweeeh...! Mie sina neno mama.! Basi, Nimebadili mawazo Mungu anipe Mke mwema tu huenda labda mimi nimepitwa na mambo mengi.
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,538
2,000


Yerewiiiiiii Mama Clare Umefika mitaa hii. Enewei, Kwani si niwewe mwenyewe ulinijibu kwenye uzi wangu fulani humu Jf kuwa sio kila mwanamke anataka kuoelewa au Anaona ndoa kama tunu. Ukaenda mbali zaidi ukaandika kuwa kila mmoja ana malengo yake huenda ndoa sio priority zake. Hao ambao ndoa sio priority ambao niwasimbe tujumuike tufurahie Maisha akipata kibwana Kinachotaka kuoa ananiambia tu mimi sina Shida, No strings Attached.
Ndo manungayembe hao unatakiwa kupambana nao.

Wa nipe nikupe wapo mbona.
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,199
2,000
Sijui kama mtoa mada Ni Mzazi kwa Sasa au ana mpango wa kuja kua mzazi wa mtoto wa kike baadae.

Ila laiti kama Angelikua ana mtoto wa kike (BINTI) anaemlea, anamlisha, anamvisha, anamsomesha. Halali anapambana na kujinyima vingi kwa ajili yake.
Afu lije jitu kutoka Sijui wapi uko USWEKENI Lina request za kipuuz puuz Kama hizo sidhani Kama asingeshika UPANGA
 

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
Sijui kama mtoa mada Ni Mzazi kwa Sasa au ana mpango wa kuja kua mzazi wa mtoto wa kike baadae.

Ila laiti kama Angelikua ana mtoto wa kike (BINTI) anaemlea, anamlisha, anamvisha, anamsomesha. Halali anapambana na kujinyima vingi kwa ajili yake.
Afu lije jitu kutoka Sijui wapi uko USWEKENI Lina request za kipuuz puuz Kama hizo sidhani Kama asingeshika UPANGA

Tatizo watu hampendi watu wakiwa real..! Hivi kwa mfano ningeandika natafuta Mchumba ambaye nataka kumuoa then baadae nakula mziho then nikawa nimeshindwa au yeye kashindwe kuendelea na mimi, tofauti ya kile ninaomba na hiyo scenario ni nini?? Ngoja tuendelee kuwala hata huku kitaa wapo Sana. Huku tunaweka kuchangamsha Genge tu Mkuu.
Mbususu za watoto changa na fresh kabisa zipo kibao..! Kwahiyo we kama unaona mwanao ni Hataliwa kaa hivyo. Ila ukweli ni kwamba mwanao anapelekewa bomba na baadae atawekwa pembeni huwezi kuzuia watu kufurahia maisha eti kisa unalea sijui kwa gharama.!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom