Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,767
Habari gani ndugu wana Jf
Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa?
Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano lazima iwe ndoa, some of us here are dating for fun and others are dating for love hivyo yaani.
Hebu tizama hii kitu hapa chini, mdada wa kibongo bongo hawataki hii ku date kwa ajili ya upendo na sio ku expect kuolewa. Au tabia ya Uchawa ya Dada zetu ndio maana wanashindwa ku date for fun?
Kwa yoyote alie interested ku date for fun..! Hakuna kupangiana wala kubanana kama wafungwa wa Nje mara usifanye hivi mara hivi.
DM yangu iko wazi tuyajenge, tired of mahusiano kila siku mtu anaongelea harusi mara sijui ndoa …! Nahitaji mtu ambaye yupo interested.!
Taarifa zangu fupi
Male (Kanda ya Ziwa)
Light skinned
Middle size height
Bachelor degree holder
Medical personnel
Employed
Usije kunijaribu pls..!