Kwani lazima kila mahusiano ya kimapenzi yaishie kwenye ndoa?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
Wachecki exotic Tanzania, kule Kuna kila Aina ya sample inayoendana na mahitaji yako.

Unataka mahusiano kwa siku,masaa,wiki mwezi au mwaka.

Ni wewe TU na mfuko wako jinsi unaruhusu , Wengi wanachaji kwenye 100usd@hour,

Kwaiyo Kama uchumi unaruhusu utadate kwa USD 2400 Kwa siku, ambayo ni sawa na 5,520,000Tsh

Ela hii Ni sawa kabisa na mshahara wa mwaka mzima wa mtumishi wa chini wa kada ya afya nchini TANZANIA.

Kila la heri

Mkuu umesoma uzi wangu ukaelewa kweli ?? Nimesema nataka mtu wakumlipa nifanye naye sex au ndio kukutupuka tu Mkuu.

Hao wa aina hiyo wamejaa mtandaoni mkuu, Ni suala la ku download Telegram na kujiunga unapata wanawake wa Type hiyo. Shihitaji sex workers. Nahitaji mate ila sio kuoana labda Mungu akijalia mawazo yakibadilika
 
Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000
Hata mashoga wenyewe siku hizi wanataka ndoa na wapo wanao olewa, sasa huyo mwanamke wa for fun, labda wadangaji.

Shoga anataka kuolewa ??

Anyway, mie simaanishi kabisa hakuna kuoana ila baadae huko. Sasa mtu mko na wiki tatu tu anakomalia kuongelea mambo ya harusi sijui ndoa angejua sipendi basi tu.
Yaani mtu hana hata wiki 56 unaanza kuzungumza ndoa, very demoralizing.
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,199
2,000
Mkuu umesoma uzi wangu ukaelewa kweli ?? Nimesema nataka mtu wakumlipa nifanye naye sex au ndio kukutupuka tu Mkuu.
Hao wa aina hiyo wamejaa mtandaoni mkuu, Ni suala la ku download Telegram na kujiunga unapata wanawake wa Type hiyo. Shihitaji sex workers. Nahitaji mate ila sio kuoana labda Mungu akijalia mawazo yakibadilika
Icho unachokitaka hApa nchini kwetu hakipo,
Na hakiwezi kuwepo kwasababu huo sio utamaduni wetu.

Kwa vigezo ulvyotaja,
Hakuna mwanamke wa kawaida anaeweza kukubali MAHUSIANO ya Ivyo ya kupotezeana muda, umri unaenda, analiwa bure bure TU na hamna commitment yoyote.

(HATA ANGEKUA ni BINTI YAKO WA KUMZAA, sidhani wewe Kama Mzazi unaweza kukubali huo upuuzi)

Vinginevyo, ukiona kakubali
Jua Kuna namna kaona anafaidika na mahusiano Ayo Kama nilivokuelekeza kwa wale wa Exotic wanaokuuzia muda wa mahusiano.

Au weka Dau Mezani wadada wa JF wajichekeche watafidia vipi huo MDA utakaowapotezea Kwenye Ayo mahusiano yako unayoyataka.

Vinginevyo,
Kama unataka starehe ya bure
bure wacheki NSSF wakupe wanawake wastaafu na wajane wenye pensheni yao wanaohitaji kampani tu ya kumalizia uhai uliobakia duniani.
 
Hapo mwishoni umeharibu
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,199
2,000
Hapo mwishoni umeharibu
Tatizo binadamu wengi hatupendi kuambiwa UKWELI mchungu mkuu
JamiiForums72689970.jpg
 
mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,294
2,000
Wapo baadhi ya malaya wanaokiri wazi wazi kuwa hawahitaji ndoa, ni suala la kukubaliana naye bei mnaenda kutiana unamlipa kila mmoja anashika njia yake
They call it no string attouched,mm nawapendaga sana hawana mambo mingi unaweka pesa yako unapewa papa kiroho safi unapita hiv
 
The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
12,585
2,000
Mkuu umesoma uzi wangu ukaelewa kweli ?? Nimesema nataka mtu wakumlipa nifanye naye sex au ndio kukutupuka tu Mkuu.
Hao wa aina hiyo wamejaa mtandaoni mkuu, Ni suala la ku download Telegram na kujiunga unapata wanawake wa Type hiyo. Shihitaji sex workers. Nahitaji mate ila sio kuoana labda Mungu akijalia mawazo yakibadilika
What kind of a date?

Soulmate

Fuckmate

Time-wastingmate.

Pretending mate

Childish acts mate

Fake boyfriend/girlfriend mate

What kind of mate ?

Or shit mate
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,538
2,000
You think if it worked for us sisi wanawake tungeikataa? We are not that stupid.

Dating for fun? Fun yote mnayo nyie wanaume. Nyie hamhesabiwi mileage na wala miili hata CV zenu haziharibiki kwa kutumika kingono.

Hiyo fun hapo ni ya kuchakazwa tu na mwanamke anaejielewa hawezi kukubali.

Huo mkataba fungeni na manungayembe wenzenu.

Kenge nyie.
 
Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,426
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom