Kwani kuomba radhi ni udhaifu?

Kwani kuomba radhi ni udhaifu?

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ndugu zangu Watanzania hakuna binadamu asiyekosea, iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya. Kimsingi hilo ndilo hudhihirisha ubinadamu wenyewe. lngawa mara nyingi tunapogundua makosa yetu tunajaribu kutoyakubali kama ni makosa!

Au tukikubali tunaona shida sana kuomba msamaha, tukidhani kuonekana ni dhaifu, kitu ambacho siyo kweli. Kimsingi mtu anayekubali kuwa amemkosea Mungu, au wanadamu wenzake ni nguzo ya shaba katikati ya kizazi cha waoga.

Hivyo basi naisihi serikali katika hili la mkataba wa bandari; ikubali kuomba radhi. Mkifanya hivyo hamtaonekana wadhaifu, bali wakomavu sana.

Msituangushe hata wale tunaowanga mkono tangu Mungu awaweke madarakani. Kwani ukitazama kwa makini sana ni kama hili limekuja kufuta mema yote yaliyofanywa na awamu hii.

Sasa kwa nini iwe hivyo, na kwa faida ya nani?
Anayeomba radhi ni aliyekosea.
 
Wakishaomba radhi mtaanza hoo waachie ngazi ,wanajua wamebugi ila wanapambana kuficha hii aibu ya millennia.
Hapana, sote tuna nia njema yakujenga.
Tusiishi kwa kuviziana.
 
Wakishaomba radhi mtaanza hoo waachie ngazi ,wanajua wamebugi ila wanapambana kuficha hii aibu ya millennia.
Ndiyo uhalisia, wakiomba radhi kwa hii sintofahamu kinachofata tutawashinikiza waachie ofisi za umma. Nilikuwa nawaza, hivi wananchi hatuwezi kuweka azimio la kuwawajibisha wabunge wote waliopotisha huu mswada? Hata kama ni kuhakikisha 2025 wote wasirudi!
 
Mkuu Mchokoo , kwanza nakubaliana na wewe, unapokosea, kuomba radhi sio udhaifu, lakini kwa hili la Bandari, serikali iombe radhi kwa lipi wakati mkataba bado?.

Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya mikataba, kilichopitishwa na Bunge ni IGA sio mkataba ni MoU ya makubaliano ya kuingia mkataba, mkataba ni HGA, bado haujaingiwa!.

P

Utaishia kutukanwa Tu humu na makundi ya wajinga
 
Ndugu zangu Watanzania hakuna binadamu asiyekosea, iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya. Kimsingi hilo ndilo hudhihirisha ubinadamu wenyewe. lngawa mara nyingi tunapogundua makosa yetu tunajaribu kutoyakubali kama ni makosa!

Au tukikubali tunaona shida sana kuomba msamaha, tukidhani kuonekana ni dhaifu, kitu ambacho siyo kweli. Kimsingi mtu anayekubali kuwa amemkosea Mungu, au wanadamu wenzake ni nguzo ya shaba katikati ya kizazi cha waoga.

Hivyo basi naisihi serikali katika hili la mkataba wa bandari; ikubali kuomba radhi. Mkifanya hivyo hamtaonekana wadhaifu, bali wakomavu sana.

Msituangushe hata wale tunaowanga mkono tangu Mungu awaweke madarakani. Kwani ukitazama kwa makini sana ni kama hili limekuja kufuta mema yote yaliyofanywa na awamu hii.

Sasa kwa nini iwe hivyo, na kwa faida ya nani?
sisi waafrica hatuna utamaduni kwa kukubali makosa na kuomba msamaha, kama unabisha jaribu kukiambia kitoto hata cha miaka 4 kikuombe msamaha baada ya kukukosea, kitasita kwanza ndipo kitasema "samahani" kwa sauti ya chini huku kikiangalia chini afu kinasepa fasta.

Cha msingi mkubwa akinyamaza basi kashaona makosa yake tusitegee kauli ya msahama.
 
Ndiyo uhalisia, wakiomba radhi kwa hii sintofahamu kinachofata tutawashinikiza waachie ofisi za umma. Nilikuwa nawaza, hivi wananchi hatuwezi kuweka azimio la kuwawajibisha wabunge wote waliopotisha huu mswada? Hata kama ni kuhakikisha 2025 wote wasirudi!
hawa wabunge walio wengi walipita kwa kuiba kura na ndiyo maana hawana uchungu na maliasili za nchi.
 
Utaishia kutukanwa Tu humu na makundi ya wajinga
Mkuu The Boss,
Duniani hapa hakuna mtu asiye mjinga wa jambo fulani.
Isipokuwa tunatofautiana tu idara za ujinga!
 
Serikali imesema mkataba haujasainiwa ..utakaposainiwa utazingatia maoni...
Mtu bado anataka serikali ivunje mkataba ambao hata haujasainiwa
Sasa huyo tunamuweka wapi
 
Mkuu Mchokoo , kwanza nakubaliana na wewe, unapokosea, kuomba radhi sio udhaifu, lakini kwa hili la Bandari, serikali iombe radhi kwa lipi wakati mkataba bado?.

Watanzania wanapaswa kuelimishwa elimu ya mikataba, kilichopitishwa na Bunge ni IGA sio mkataba ni MoU ya makubaliano ya kuingia mkataba, mkataba ni HGA, bado haujaingiwa!.

P
Kama HGA bado, sasa hawa akina mshindia mihogo, DJ alieenda UK juzi, Jenerali wa Rwanda, Kadinali wa milele etc etc wanatoka povu la nini? Au ni vita kati ya hivi vitabu tulivyoletewa?
 
Mkuu, harahara na kauli za kibaguzi.
 
Ndiyo uhalisia, wakiomba radhi kwa hii sintofahamu kinachofata tutawashinikiza waachie ofisi za umma. Nilikuwa nawaza, hivi wananchi hatuwezi kuweka azimio la kuwawajibisha wabunge wote waliopotisha huu mswada? Hata kama ni kuhakikisha 2025 wote wasirudi!
Kwa kweli wabunge wengi ni tatizo.
 
Ndugu zangu Watanzania hakuna binadamu asiyekosea, iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya. Kimsingi hilo ndilo hudhihirisha ubinadamu wenyewe. lngawa mara nyingi tunapogundua makosa yetu tunajaribu kutoyakubali kama ni makosa!

Au tukikubali tunaona shida sana kuomba msamaha, tukidhani kuonekana ni dhaifu, kitu ambacho siyo kweli. Kimsingi mtu anayekubali kuwa amemkosea Mungu, au wanadamu wenzake ni nguzo ya shaba katikati ya kizazi cha waoga.

Hivyo basi naisihi serikali katika hili la mkataba wa bandari; ikubali kuomba radhi. Mkifanya hivyo hamtaonekana wadhaifu, bali wakomavu sana.

Msituangushe hata wale tunaowanga mkono tangu Mungu awaweke madarakani. Kwani ukitazama kwa makini sana ni kama hili limekuja kufuta mema yote yaliyofanywa na awamu hii.

Sasa kwa nini iwe hivyo, na kwa faida ya nani?
Tawala gan ya kidunia inaamin katika kuomba msamaha? Wao hujua wao ndio kila kitu na hakuna wa kuwababaisha wala kuwaondoa hapo walipo!!! Labda kwa Nchi zilizoendelea zinazoongozwa na katiba ya Nchi tu!!
 
Ndugu zangu Watanzania hakuna binadamu asiyekosea, iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya. Kimsingi hilo ndilo hudhihirisha ubinadamu wenyewe. lngawa mara nyingi tunapogundua makosa yetu tunajaribu kutoyakubali kama ni makosa!

Au tukikubali tunaona shida sana kuomba msamaha, tukidhani kuonekana ni dhaifu, kitu ambacho siyo kweli. Kimsingi mtu anayekubali kuwa amemkosea Mungu, au wanadamu wenzake ni nguzo ya shaba katikati ya kizazi cha waoga.

Hivyo basi naisihi serikali katika hili la mkataba wa bandari; ikubali kuomba radhi. Mkifanya hivyo hamtaonekana wadhaifu, bali wakomavu sana.

Msituangushe hata wale tunaowanga mkono tangu Mungu awaweke madarakani. Kwani ukitazama kwa makini sana ni kama hili limekuja kufuta mema yote yaliyofanywa na awamu hii.

Sasa kwa nini iwe hivyo, na kwa faida ya nani?
Usisahau pale Dubai ilisainiwa mikataba 30 huu ni mmoja tu kati ya hiYo
 
Inategemea unamuomba nani na kwa kosa gani?
 
Back
Top Bottom