Bill Gate Katunzi Muzamil nakutakia maisha mema na mwenyezi Mungu akusaidie umekua msaada wa kusaidia wenzio endelea na moyo huo mzuri muzamil ,uwe mfano wa kuigwa iyeeeee! Binadamu akiona una mafanikio atakukatisha tamaa songa mbele usigeuke nyuma ndio dunia mi najua umetoka mbali ni siri yako sio wote watakupendaaaa ihiiiiiiii! Tenda Mema usingoje shukurani cheka na watu wote MUZAMIL KATUNZI.
Kuna mtu na mjua alitoka na katunzi hakupewa hata Mia