Kwangu hapa ndo mwisho wa reli.

Kwa kukaanga tu ndo inafaa unachanganyia na ndizi mshale au mzuzu za kuchoma shushia na safari Lager siku saaafi
 
Kwa kukaanga tu ndo inafaa unachanganyia na ndizi mshale au mzuzu za kuchoma shushia na safari Lager siku saaafi
yaani unajihisi vizuriiiiiiiii,au kaanga uchanganyie na mboga za majani halafu ule nao ugali
 
Nguruwe aliumbwa kama mnyama msafisha mazingira na anashambuliwa na wadudu kibao ambao kwake hawana madhara ila hata ukimkaanga hawafi so watahamia kwako ukila, so ni tatizo. si vema kula pork. tumia fish mkuu, fish ndo recommendable.

Mambo ya Walawi, Chapter 11: [SUP]11:7[/SUP] Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.[SUP]11:8[/SUP] Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.@Excellent
 
Mkuu kiutaalam imehakikishwa lakini?ila kuhusu maandiko hapo siweki neno
 

Mbunye inamagonjwa lakini wenzako wanaila, hata ww umeamua kuinunua na kukaanayo nyumbani mtu asikubughudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…