Wingi wanasema lema hajafanya kitu tangu achaguliwe lakini wanaosema hivyo kwakuwa nao ni wabunge kama lema hawatuambii wao wamefanya nini tangu wachaguliwe sasa ukiacha maneno hayo ya wapinzani sisi tulioko ar tunajua lema amefanya nini kwanza lema ni mtu wa watu , lema hana rika , lema ni mtoto wa kijiweni hizi sifa tatu tu zinatosha kumfanya lema apendwe na watu maana ccm wao ukuwa mbunge unakuwa muheshimiwa mtu wa kupigiwa magoti na wakutafutwa maana wabunge wa ccm makazi yao ni dar isitishe lema amewasaidia sana watu wa ar kujua elimu ya uraiya hivyo kujua haki zao tofauti na ccm wao wanajua mtu akijua hakizake inakuwa vigumu kumtawala pia naweza kusema katika kipindi cha lema ndipo arusha imekuwa jiji pia barabara zote za ar kuwa za lami hii ni kazi kubwa sana . Najua wapo watakao sema ar kuwa jiji au barabara kuwa na lami ni ccm ndo wako madarakani hivyo wao ndo wamefanya hayo tunajua wao ndo wamefanya lakini kwa shinikizo la mbunge maana kama ni ccm mbona ilikuwepo miaka yote hamsini na jimbo likiongozwa na wao mbona hawakufanya haya?? Kama niccm mbona hadi leo kule kilimanjaro karibu majimbio yote yanayoongozwa na upinzani barabara zao zinakarabatiwa na kuwekwa lami lakini yale yanayoongozwa na ccmhayafanyiwi hivyo? Mfano jimbo la moshi vijijini kwa sirili cham kuna barabara moja inaelekea uru kishimundu hii iliwekwa lami enzi ya mwalimu lakini hadi leo hata fungu la kukarabati tu hiyo lami halijulikani linaishia wapi sasa mniambie kama ccm wanaweza kufanya bila kushinikizwa mbona kwenye majimbo yao hawafanyi??????