Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Acha kuongea usichojua...
Kama sio kazi yake ilikuwaje akasimama jukwaani kuomba kura na kuaidi vitu ambavyo hawezi kuvifanya? ?? Huu sio utapeli?
Utekelezaji wa maendeleo lazima mbunge na serikali washirikiane na kuskilizana,serikali ya ccm ndio inayokusanya kodi zetu.so sababu mbunge ni wa upande wa upinzani mnabana aonekane hafanyi kitu ili mshinde uchaguz ujao!?ntalipigia kura hata jiwe na cyo nyie.
 
Kama alijua hakusanyi kodi kwanini aliwaahidi wananchi kuwa atawajengea Hospitali?[/QUOTE
Arusha tunaakili timamu na tunaona mchezo woote.endeleen kumbania aonekane hafanyi kitu ili mshinde uchaguz ujao.
 
LEMA zile machinga complex ziko wapi? vijana wa Arusha waliokusapoti kwa hali na mali ndio wanagundua sasa kuwa uliwauza! hakuna cha mikopo wala Machinga complex!

Mulizeni JK, ile meli aliyoahidi Bukoba iko wapi?
Je zile Machinga complex za kila mji ziko wapi?

Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi?
 
LEMA zile machinga complex ziko wapi? vijana wa Arusha waliokusapoti kwa hali na mali ndio wanagundua sasa kuwa uliwauza! hakuna cha mikopo wala Machinga complex!

Na zile za Kikwete za kila mkoa na kila wilaya vipi zipo tayari?
 
Jukumu la Mbunge ni kuisimamia serikali na kuishauri sasa ni wakati muafaka wa Watanzania kuelimishwa kazi na majukumu kati ya Mbunge na Serikali.
 
aminangalo naona mlipiza kisasi mara baada ya kuangukia pua sombetini ila mnazidi kuipa hali mbaya ccm kwa hatua hii ya kubomoa vibanda vya kinamama wanaotafuta riziki yao halali wakati ndovu wetu mnaiba
 
CCM wanafanya kila namna majimbo yaliyoshikwa na wapinzani wasipeleke maendeleo. Ukifika uchaguzi waseme mliowachagua wamewafanyia nini? Ila wanachofanya makamanda tunakielewa tutawachagua tena 2015. Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.


Machinga complex itajengwa mipango yote yanatekelezwa kwa udi na uvumba

Godbless J Lema tunakuamini Kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Kila mahali inapotawala CDM mizengwe na vikwazo lazima viwekwe kidumukidumu chama cha visasi
 
Machinga complex itajengwa mipango yote yanatekelezwa kwa udi na uvumba

Godbless J Lema tunakuamini Kamanda.

itajengwa lini mkuu wakati mwakani uchaguzi lema anapigwa chini,? na ile hospitali aliyoahidi iko wapi? na ile ambulance kwa nini amemuuzia mhindi? lema ni janga la taifa
 
Last edited by a moderator:
wote tunatambua ambavyo serikali dhaifu ya mizigo inavyomkwamisha lema asitimize ahadi zake,
1.ilianza kwa kuhujumu uchaguzi wa meya ili apatikane meya fisadi gamba kwa kuhofia halmashauri kupiga hatua kubwa za maendeleo kutokana na uongozi safi na makini wa cdm ambao ungepelekea cdm kukubalika zaidi na kuwa mfano kwa majimbo mengine.
2. Kumfungulia kesi kimizengwe na hatimaye kumsimamisha ubunge kwa muda mrefu,pamoja na kutoitisha kwa wakati na haraka uchaguzi waadiwani katika zile kata 5,lengo likiwa kumhujumu Lema na CDM kwa ujumla.
Kwa vile wananchi wa Arusha wanajitambua,nadhani wanamfahamu adui yao mkubwa ni ccm na adhabu yake ni kutoichagua kabisa ccm hapo 2015 ili CDM iongoze Halmashauri ya jiji na nchi kwa ujumla na kuwaletea maendeleo ya uhakika kupitia sera makini na sahihi za CDM. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Tanganyika,
Mungu ibariki CDM.wote semeni Amen
 
Akili zenu zimelala nyie. Huyo lema ni mLEMAvu wa akili. Hata jina lake ni kifupi cha uLEMAvu wake. Labda akifanikiwa kuuza zile kg599 za heroin anaweza kuwajengea complex la kisukuma sio machinga. Mnamsifu kilaza. Wana mpango wa kuuza nchi nyie mnashangilia tu. Poleni.
 
Akili zenu zimelala nyie. Huyo lema ni mLEMAvu wa akili. Hata jina lake ni kifupi cha uLEMAvu wake. Labda akifanikiwa kuuza zile kg599 za heroin anaweza kuwajengea complex la kisukuma sio machinga. Mnamsifu kilaza. Wana mpango wa kuuza nchi nyie mnashangilia tu. Poleni.

Amkeni
 
Mulizeni JK, ile meli aliyoahidi Bukoba iko wapi?
Je zile Machinga complex za kila mji ziko wapi?

Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi?
Basi kama nyie mnaojiita wakombozi wa wananchi mnamuiga kikwete tena, nini tofauti yenu? kwanini tuwachague?
 
Huyu siyo Lema mwenyewe na ID fake kweli cos siamini mtu mwenye akili timamu na anayejiita great thinker anaweza kumtetea na kumwabudu Lema kiasi hiki
 
Back
Top Bottom