Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.

Kumshukuru kwa lipi?
 
tatizo mlidangayika na makelele yake badala ya kuangalia kama anauwezo wa kuwasaidia, sasa hakikisheni kuwa hamfanyi kosa kumrudisha bungeni 2015 maana meona kuwa hana msaada yanapokuja maswala ya msingi, lema anaweza sana kuhamasisha maandamano lakini hana uwezo wa kufanya mambo ya maendeleo,
 
Watu wana akili wanaona jinsi sisiem inamzingua Mh.Lema.Eti wamesubiri aende kalenga wafanyeujinga ili asiconcentrate kwenye uchaguzi.Kwa taarifa yenu mmeangukia pua:wave:

Juzi kapigiwa simu eti anataka aongee na mr pm wakati alimuita muongo kweli akili yake iko nyuma huyo
 
tatizo mlidangayika na makelele yake badala ya kuangalia kama anauwezo wa kuwasaidia, sasa hakikisheni kuwa hamfanyi kosa kumrudisha bungeni 2015 maana meona kuwa hana msaada yanapokuja maswala ya msingi, lema anaweza sana kuhamasisha maandamano lakini hana uwezo wa kufanya mambo ya maendeleo,

Ni kweli mkuu ila wakimuweka chadema tutamchagua tena .....yani ilimradi sio sisiemu
 
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo

basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante

mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema
mmh
 
lema umeona upepo unaelekea kubaya mwaka 2015 huna chako unaanza kuja na id feke kujibu ulivyoshindwa kuwatumikia wananchi .uliahidi na umeshindwa kufanya kaa kimya
ungeanza na JK aliahidi ahadi nyingi mno na hazitekelezeki anasema wahisani wanachelewa kutimiza ahadi zao sasa kabla ya LEMA nina fikiri uange anza na baba yako JK maana yeye ndiye anaye kusanya kodi na si LEMA
 
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo

basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante

mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema
kazi ya mbunge ni kuratibu na kusimamia miradi inayoratibiwa sasa kama kati ya miradi hilo jengo lipo kwa mana hoja yake ilikubaliwa anayo haki ya kufuatilia, kuhusu watalipaje mikopo waliokopa,waulizwe ccm wenye serikali maana wao ndio wanaowanyanyasa hao kina mama
 
mmeshindwa Sombetini alikosimamia kwake mtaweza?hapa Arusha hakuna ccm labda CUF

Hahaha ....nyie endeleeni kujidanganya hivo hivo. 2015 hata mlete chopa 50 watu hawadanganyiki tena na huyu muhuni
 
Back
Top Bottom