Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

....

....Gamba!!! mnalipiza kisasi?

Eti lema ndo nani?vijana tunataka maendeleo sio siasa za maji taka kusafisha jiji eti mnalipizia kisasi acha umbulazZZ nenda shule si kuongea tu machinga complex iko wapi.
 
Mkuu yaan cjui hata nisemaje ila tuko pamoja sn mkuu
 
Mh lema changamoto uifanyie kazi najua kuna jitiada nyingi zakukwamisha maendeleo zinafanyika ili mambulula ccm yapate chaku sema 2015lakini wame sahau mawazo yako nikuikomboa Tanzania Ata usipo fanya chochote kwa sasa tuta angalia zamira yako.
 
Hakuna cha maana alichokifanya LEMA toka achaguliwe kuwa mbunge, kwa hilo historia itamhukumu, na adhabu yake itatolewa kupitia box la kura!
 
Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.

Mkuu mjii wa Arusha unaitaji mtu msomi na anayejua kubainisha fursa zilizopo na kuziendeleza... Arusha kuna fursa nyingi ila huyu jamaa ameshindwa kuzifanyia kazi kwa manufaa ya wananchi wake. Yeye ndio wa kwanza kuleta vurugu na kusababisha mji kudorora. Ameshindwa hata kupigania hotel ya 77 iliobinafsishwa miaka kumi sasa ifunguliwe watu wapate ajira....

Hatumtaki mtu mwenye low thinking capacity.
tunasubiri dirisha la usajili lifunguliwe tumwachie manyoya
 
Ana shahada ya kuhamasisha maandamano na siyo maendeleo.

Katika harakati kama hizi za kupigania haki, utu na uzalendo wa mtanzania maneno mengi yatasemwa, mpigania haki ataitwa ataitwa kwa majina mengi, bali ninachoamini matusi yote, kebehi kama hizi na maudhi yoyote hayatamvunja moyo kamanda Lema, atasonga mbele kutimiza dhamira yake yeye kuwa sehemu ya ukombozi wa nchi yetu.

Lema songa mbele kamanda......

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Unayajua yapi ni majukumu ya mbunge,na yapi ni majukumu ya serikal?lema hakusanyi kodi arusha so serikali ndio inawajibu wa kuwawekea machinga mazingira mazur ya kufanya biashara zao.kazi ya mbunge ni kusimamia utekelezaji.
 
Mkuu Mungi watu wanaakili na wanaona kinachoendelea. Msidhani kila mtu ni mvuta bangi na mnywa viroba .... lema ameshindwa kabisa kufanya shughuli za kuinyanyua jiji la Arusha. Usitetee ujinga hata kama ni mjomba wako.
 
Acha kuongea usichojua...
Kama sio kazi yake ilikuwaje akasimama jukwaani kuomba kura na kuaidi vitu ambavyo hawezi kuvifanya? ?? Huu sio utapeli?
 
Hakuna cha maana alichokifanya LEMA toka achaguliwe kuwa mbunge, kwa hilo historia itamhukumu, na adhabu yake itatolewa kupitia box la kura!
Lema hakusanyi kodi.endeleeni kubana ila mjue arusha ccm kushney.tutapigia kura hata jiwe cyo nyie.
 
Mkuu Mungi watu wanaakili na wanaona kinachoendelea. Msidhani kila mtu ni mvuta bangi na mnywa viroba .... lema ameshindwa kabisa kufanya shughuli za kuinyanyua jiji la Arusha. Usitetee ujinga hata kama ni mjomba wako.

Huijui Arusha zaidi ya kuisikia kwenye redio wewe, hata hivyo maendeleo ya jiji la Arusha kwa upande wa tax collection ni tofauti wakati wa ccm, makusanyo yamepanda kwa asilimia zaidi ya 300%, barabara zimekuwa za mpango wa lami, na bado watu tunafaidika na miradi ya maji Arusha ambayo ccm walishindwa kutekeleza.
Umezungumzia fursa nyingi zinazopatikana Arusha, lakini hujafafanua ni fursa zipi. Kibiashara mji wa Arusha upo juu, Ajira nyingi zinapatikana Arusha pengine kuliko huko kwako, tatizo maccm walivyo maboya wanaangalia fursa za kufanya mikutano ambayo wao wamegeuza kama karata za kuwahadaa wananchi kuwa Arusha siyo salama! Arusha ni salama, lakini pia siyo salama kwa sababu ya ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Katika harakati kama hizi za kupigania haki, utu na uzalendo wa mtanzania maneno mengi yatasemwa, mpigania haki ataitwa ataitwa kwa majina mengi, bali ninachoamini matusi yote, kebehi kama hizi na maudhi yoyote hayatamvunja moyo kamanda Lema, atasonga mbele kutimiza dhamira yake yeye kuwa sehemu ya ukombozi wa nchi yetu.

Lema songa mbele kamanda......

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Msifanyie Siasa maisha ya watu, LEMA aliwahiidi wananchi wa Arusha kuwa atawajengea MACHINGA complex ili wasipate adha ya kufukuzwa fukuzwa kila mara na mgambo wa jiji, Aliwaahidi akina mama kuwa atawajengea Hospital kwa ajili ya masuala ya uzazi, Hakuna hata ahadi moja iliyotekelezwa, Machinga wanaendelea kuteseka, juzi wamevunjiwa vibanda vyao, akina mama wanaendelea kupata changamoto zile zile etc
 
ndugu tafadhali nimeandika thread hii kwa lema na waelewa sio mburula kama wewe

Utakuwa na hakiri kama zake, mji mchafu anawaambie mzoe taka mkajimwage kwa mkuu wa mkoa! Hakiri povu.
 
Huijui Arusha zaidi ya kuisikia kwenye redio wewe, hata hivyo maendeleo ya jiji la Arusha kwa upande wa tax collection ni tofauti wakati wa ccm, makusanyo yamepanda kwa asilimia zaidi ya 300%, barabara zimekuwa za mpango wa lami, na bado watu tunafaidika na miradi ya maji Arusha ambayo ccm walishindwa kutekeleza.
Umezungumzia fursa nyingi zinazopatikana Arusha, lakini hujafafanua ni fursa zipi. Kibiashara mji wa Arusha upo juu, Ajira nyingi zinapatikana Arusha pengine kuliko huko kwako, tatizo maccm walivyo maboya wanaangalia fursa za kufanya mikutano ambayo wao wamegeuza kama karata za kuwahadaa wananchi kuwa Arusha siyo salama! Arusha ni salama, lakini pia siyo salama kwa sababu ya ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi tafadhali, usirudie tena kutudanganya kuwa LEMA ndio amejenga barabara Arusha.
 
Kamanda Lema, Mnyika, Lissu na Mbowe ni wabunge wa Kitaifa, hivyo Napenda Kuwashkuru wananch wa majimbo yao kwa kutuletea Wabunge ambao wamekuwa watetez wa watz wote.
 
Mkuu Mungi watu wanaakili na wanaona kinachoendelea. Msidhani kila mtu ni mvuta bangi na mnywa viroba .... lema ameshindwa kabisa kufanya shughuli za kuinyanyua jiji la Arusha. Usitetee ujinga hata kama ni mjomba wako.
Watu wana akili wanaona jinsi sisiem inamzingua Mh.Lema.Eti wamesubiri aende kalenga wafanyeujinga ili asiconcentrate kwenye uchaguzi.Kwa taarifa yenu mmeangukia pua:wave:
 
Back
Top Bottom