Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Hahaha ....nyie endeleeni kujidanganya hivo hivo. 2015 hata mlete chopa 50 watu hawadanganyiki tena na huyu muhuni
Bucho kumbuka mlianza kuyasema hayo tangu uchaguzi wa madiwani wanne kwamba watu wa Arusha wameichoka chadema!!!! kwa hapa Arusha Mbunge wa ccm ajawai kushinda kialali tangu uchaguzi wa vyama vingi vianze kumbuka tulianza na Makongoro Nyerere
 
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo

basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante

mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema

Kwa Arusha maeneo mjini kati ni kwamba uongozi wa ccm umesha viuzaa vyote .kilichopo ni kuomba mh mbunge ,apiganie upimaji viwanja vya makazi na masoko na viwanda vidogo .mji upanuke .ndio itakuwa ukombozi
 
LEMA hana akili ya kuwasaidia wanna arusha zaidi ya kuwahamasisha kuandamana Leo watu wanalia kama yatima LEMA hana ushirika na viongozi wengine mbona mbowe ametulia jitafakari sana.
 
LEMA hana akili ya kuwasaidia wanna arusha zaidi ya kuwahamasisha kuandamana Leo watu wanalia kama yatima LEMA hana ushirika na viongozi wengine mbona mbowe ametulia jitafakari sana.

Gamba jipya kazini karibu mkuu
 
Cpend ccm na watu wake i hate u ccm. Mungu ibariki tanzania walaani ccm
 
duh kumbe huyu muhuni lema ndo kampeni meneja wa kalenga? kudadadek CCM imeshashinda asubuhi mapemaa kabla hata chapati hazijaanza kupikwa...ina maana cdm mmekosa mtu mwenye akili wa kusimamia uchaguzi kalenga japo mlete changamoto tu mmemuweka mvuta bange na mnywa viroba lema? MTAPIGWA TU KALENGA
 
msalani vipi kuhusu JK na ahadi kuwa umeme utapatikana mda wote,maana mjini tu umeme ni taabu sasa sijui vijijini,
lema hongera sana endelea kufanya kazi
 
Back
Top Bottom