Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Hahahaha......
Mungu naapa sijawai ona mtu mwongo na laghai kama hii inaonyesha jinsi gani mnaweza kuwadanganya misukule yenu...

Mungi embu rudia tena ulichosema watu wasikie kwa nguvu.

Hujaelewa wapi tukusaidie ?
 
Kweli kabisa mkuu.....

Impact (positive) ambayo imetokea hapa Tz kwa upande wa upinzania kwa sababu ya Lema na Arusha ni kubwa mno.....

Kwa hili hata mimi namshukuru sana Lema.

Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.
 
Hakuna cha maana alichokifanya LEMA toka achaguliwe kuwa mbunge, kwa hilo historia itamhukumu, na adhabu yake itatolewa kupitia box la kura!

Ndo elimu yako ya point 46 sikuwekei daraja coz hauekeweki kama wizara ya elimu unaweza ukawa zero ama div 4
 
Mimi nilisoma enzi za mkoloni, unaponiambia mambo ya POINT 46 sikuelewi kabisa!
 
Tena kilaza mkubwa wewe badala ujadili elimu inapotezwa na ccm kichwa chako ni chadema, ukilala chadema ukiamka chadema
 
Maendeleo sio kuzungumza jukwaani au kukusanya watu barabarani kwenye MAANDAMANO..

Kama jimbo tumeshindwa nchi ndio tutaiweza?

Mjipange upya!!!...hatuitaji ahadi tunaitaji vitendo kwa majimbo machache tulionayo!
 
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo

basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante

mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema

huu ndio uandishi.. fikisha ujumbe bila majungu wala maneno yakashfa.. safi sn hope amekusikia mkuu.
 
"Think before you speak, read before you think"...........ujumbe huu uwafikie wote mnaoperuzi uzi huu
 
Hata machinga complex isipopatikana, ccm wasahau kupata ubunge wa arusha mjini. Ishatapikwa kabisa kule
 
Ritz umesikia hii mpya kutoka kwa Kamanda Mungi?
Mkuu MSALANI

Wala usishangae hizo ni akili za gongo, barabara zimejengwa na serikali kuu kushirikiana na benki ya dunia, ujue Lema anawashikia akili Bavicha wengi.
 
Last edited by a moderator:
mkuu msalani nadhan unapopolewa kijambio.. mashoga wote hawamkubali lema sijui nn tatizo.
 
kamamaa umepost utumbo, naona unamsafisha mzee wa mini kabaang, lema hasafishiki hata kwa jiki
 
Basi kama nyie mnaojiita wakombozi wa wananchi mnamuiga kikwete tena, nini tofauti yenu? kwanini tuwachague?

Usipende kujitoa ufahamu wewe, hivi CDM ina Serikali mpaka iwe na Budget ya hayo muyaongeayo? Hivi wewe MSALANI nikikulinganisha na Tahira anayeona sawa kutembea barabarani akiwa Tupu nitakuwa nakosea? Mambo mengine uwage unawaza kabla ya kuingiza ubishi maana unajaribu kutuaminisha upumba.vu wako.
 
Hivi watu mnaongea kitu msicho jua kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali iwaletee maendeleo na lema ameisimamia haswa kama mnavyojua ccm wakiona jimbo la mpinzani hawapeleki huduma kwa wananchi lema amesaidia sana kuwapa vijana hali ya kujitambua kupigania haki zao hilo ni jambo kubwa sana kwa watanzania vinginevyo watawala ccm mpaka leo wangetupeleka puta
 
haki za kuandamana eeeeeh, aya bana msukule
 
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo

basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante

mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema

pamoja kamanda marko

Aisee Hongera Kwa Imani yako Kwa Kamanda Lema! Mkombozi wa mayanki wa Arusha Sijui mpaka sasa wangapi wamefaidika!

Ana shahada ya kuhamasisha maandamano na siyo maendeleo.

ndugu tafadhali nimeandika thread hii kwa lema na waelewa sio mburula kama wewe

Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.

pamoja kamanda ubarikiwe kwa maono yako ya fikra za mbali

Barikiwa sana ! Kaka

amen ubarikiwe pia

Lema, jambazi lililoibukia kwenye siasa na kuendelea kupiga chapaa kama kawaida.
 
Back
Top Bottom