G11
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 225
- 61
Lema, jambazi lililoibukia kwenye siasa na kuendelea kupiga chapaa kama kawaida.
ARUSHA NDIO TUMEMCHAGUA KWA SABABU NI TUNU YA TAIFA:music:
Lema, jambazi lililoibukia kwenye siasa na kuendelea kupiga chapaa kama kawaida.
ARUSHA NDIO TUMEMCHAGUA KWA SABABU NI TUNU YA TAIFA:music:
lema umeona upepo unaelekea kubaya mwaka 2015 huna chako unaanza kuja na id feke kujibu ulivyoshindwa kuwatumikia wananchi .uliahidi na umeshindwa kufanya kaa kimya
Tunu ya Taifa la majambazi wa Arusha.
fitina huachiAna shahada ya kuhamasisha maandamano na siyo maendeleo.
ndio utakapojua tutampa ubunge mpaka aombe sub.:music:
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo
basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante
mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema
Yaani unavyombembeleza kama wewe ni MKE unavyombembelza MUMEO lema.....angalia mzee RAIS kashasaini ndoa za jinsia moja kimyakmya watu watakuoa..........ww unambembeleza mpymbavu huku arusha wananchi wanateseka yy anaenda kalenga.......nn kinamuhusu huko au ni sfa tuuu......Tatizo wengi hawmjui lema..ni mtu wa kupigania maslahi yake.
hawa CHADEMA kweli na wakatoliki maana hizo reply zao ni ''UBARIKIWE'' tuu hamna kingine .
Mchumia tumbo tu Lema.
Ina maana kubarikiwa ni wakatoliki tu? Sie waislamu hatuombeani baraka?
Je wewe mchumia tumbo minus tu?
Yaani unavyombembeleza kama wewe ni MKE unavyombembelza MUMEO lema.....angalia mzee RAIS kashasaini ndoa za jinsia moja kimyakmya watu watakuoa..........ww unambembeleza mpymbavu huku arusha wananchi wanateseka yy anaenda kalenga.......nn kinamuhusu huko au ni sfa tuuu......Tatizo wengi hawmjui lema..ni mtu wa kupigania maslahi yake.
hawa CHADEMA kweli na wakatoliki maana hizo reply zao ni ''UBARIKIWE'' tuu hamna kingine .
Huyu mbunge anaakili za kuokotesha visude.