shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
Akili zenu zimelala nyie. Huyo lema ni mLEMAvu wa akili. Hata jina lake ni kifupi cha uLEMAvu wake. Labda akifanikiwa kuuza zile kg599 za heroin anaweza kuwajengea complex la kisukuma sio machinga. Mnamsifu kilaza. Wana mpango wa kuuza nchi nyie mnashangilia tu. Poleni.
kama anauza heroin mi nadhani ni kwa sababu hii nchi inaongozwa na dhaifu hali inayopelekea kuwa na vyombo vya usalama dhaifu,vinavyoshindwa kumkamata lema tu!!!
Nadhani umefika wakati wa kuipiga chini hii serikali dhaifu inayomwogopa lema!