Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
Una utani wa ngumi ipo siku na mimi nitakupiga wewe 🤣No nilireport zifutw
Unajua nina masikhara sana watu wengine wanachukulia vitu too way serious 🙃 maisha mafup hawatak kufurah
Una utani wa ngumi ipo siku na mimi nitakupiga wewe 🤣No nilireport zifutw
Unajua nina masikhara sana watu wengine wanachukulia vitu too way serious 🙃 maisha mafup hawatak kufurah
Pole ankoNo nilireport zifutw
Unajua nina masikhara sana watu wengine wanachukulia vitu too way serious 🙃 maisha mafup hawatak kufurah
Ukiona nimeanz kuandika thread za kulia lia kama Binadamu Mtakatifu ujue nimekimbiwa 🤣🤣🤣Soon utarudi we mwenyewe
Ngoja tuone this week kama hujaachwaUkiona nimeanz kuandika thread za kulia lia kama Binadamu Mtakatifu ujue nimekimbiwa 🤣🤣🤣
Ngoja tuwagongeee kwanzaBinadamu Mtakatifu Johnnie Walker sioni mkioa kabisa😃
Daaah! Wanangu mnanikalili sanaUkiona nimeanz kuandika thread za kulia lia kama Binadamu Mtakatifu ujue nimekimbiwa 🤣🤣🤣
Tulio ndani ya yesu haturogekiHuogopi usinga? hujatembea usambaani mke wa mtu sumu😀
Pole ya nini Palina
Kunipiga huwezi Tangia lini mchaga akapigwa na mpare?
Lakini ukaja kuoa mpare 😂😂Mpare maana yake mpige. Tuliwapiga Sana mkakimbilia Milimani huko ndio maana hata mademu wenu wana vigimbi😀
Yule aliye kimbia kusurubiwaUnamzungumzia Yesu wa Kenya😃