Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,092
2,000
Fupisha habari kwa maneno 250 upate zawadi nono.

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma mpaka comment hii nayoiandika upate zawadi nono, zaidi ya mshindi wa Biko


Watanzania wavivu kweli aisee, hapo umekuwa mvivu kusoma, alafu demu wako unadadai unamfikisha sasa sijui unamfikisha Yombo wakati yeye anataka kufika Mbezi beach.

Maendeleo ambayo hayana vyama yanatakiwa watu wajue kusoma. Alafu natania tu mtani usimind
 

ommy gm

Member
Aug 22, 2018
39
150
Kwa kweli ni jambo la kheri, kuna watu mpaka leo wanatafuta watu sahihi kwao alafu unakuta mtu ana miaka 40, ukikutana na mtu sahihi hapo sawa. .

Ila isije kuwa nguvu ya dawa, Tabora huko kuna mbegu fulani wanawake wanameza, kisha anainya, anaitafuta kwa mavi, akiitoa anasafisha na kumtengenezea jamaa wake msosi, yule jamaa akila tu hachomoki. Yani atabeba mtoto mgongoni na ndoo ya maji kichwani. Kuna watu wanaitaji nguvu ya dawa wafike hapo ulipo, usichezee nafasi yako hata kidogo. .
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipi
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,092
2,000
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipi
Wewe na mimi ndio tunaomjua Mungu, watu wengi hawamjui Mungu kabisa...
 

ommy gm

Member
Aug 22, 2018
39
150
Wewe na mimi ndio tunaomjua Mungu, watu wengi hawamjui Mungu kabisa...
Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapo
Ulevi
Uzinzi
Ushirikina
Wizi
Chuki
Vyote vinakuandama ila ukiwa mtu wa ibada angalau utapunguza mzigo kidogo
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,092
2,000
Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapo
Ulevi
Uzinzi
Ushirikina
Wizi
Chuki
Vyote vinakuandama ila ukiwa mtu wa ibada angalau utapunguza mzigo kidogo

Kwa kweli nishawahi kumwapisha mtu kwa Biblia na kwa kosa alilofanya na akaapia kabisa. Baadae nilijisikia vibaya kwa kweli maana yule mtu uelewa wake umefika mwisho na nilitakia kulijua hilo, dhambi ya kumwapisha itakaa juu ya kichwa changu. .

Watu hawana hofu ya Mungu kabisa, wanawaogopa askari polisi, wazazi wao, wenye vyeo, wachawi, majambazi, waganga wa kienyeji n.k ila mweneyzi Mungu aliyewaomba hawamuogopi hata kidogo. Na pale panapokuwa na shida, basi ndowanamtafuta Mungu yuko wapi. .

Ndoa inapokosa upendo wa Mungu hapo hamna ndoa, utasikia tu bwana kamchoma bibi na magunia ya mkaaa basi ujue hata hofu ya Mungu hana. Biblia imesema usihukumu kwani na wewe utahukumiwa. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu peke yake. Ila mpaka leo watu wanachukulia hatua mkononi. .
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,092
2,000
Ndoa mpya zinakuwaga hivyo, subiri muda uende mbona utajipikia mwenyewe na kujifulia. Na ikifika hicho kipindi uje na mrejesho
Hahaha kwa kweli nina miaka minne na huyu mke wangu, na sijaona mambo mabovu mabovu. Mwanzo nilikuwa namsikilizia ila nimechoka kumsimilizia nimefanya maamuzi tabia hizo hana. Mwanangu nimeokota mali kwa kweli..

Mrejesho nitawapa usijali hata kidogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom