interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,396
Wauaji hawasemi bali hujikuta tu wakiua labda kwa hasira au kwa bahati mbaya, kama mi ni mwongo kawaulize walioua na sasa wako Segerea kwa kifungo cha miaka.Nitaua mtu
Wauaji hawasemi bali hujikuta tu wakiua labda kwa hasira au kwa bahati mbaya, kama mi ni mwongo kawaulize walioua na sasa wako Segerea kwa kifungo cha miaka.Nitaua mtu
simo
Ndiyo ntolee kabisa hapo, maana si kwa uchangiaji mada wa haraka kwa namna hii.Duuh nitabadilisha boss
Abee umesema...?Ndiyo ntolee kabisa hapo, maana si kwa uchangiaji mada wa haraka kwa namna hii.
Haha hahaaaaaaaa... huyo ndiye Khantwe orijino bwana na si mwingine lasivyo ni feki.
@Khantwe ebu ukuje njia hii, kuna mdada anantaka...
Apia!?Wallah mkuu...
Best dawa zangu naziaminiaAbee umesema...?
kwamba...?Best dawa zangu naziaminia
Hahaha sio kweli bana bange tu hizoApia!?
Kwani yangu inavutia?We nae mbona hujaweka kama ya Ushimen
SijuiKwani yangu inavutia?
Nami nawachanganya??
Ngoja basi nitoee,Sijui
Mara ya ngapiKuna harufu ya fulani kwenda kupinduliwa hapa!
Upo salama?Mara ya ngapi