Kwako @khantwe

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
habari mrembo wa jf Khantwe i hope u mzima wa afya, dhumuni la post hii ni.kukuomba ubadilishe avatar maana kila nkiangalia avatar yako naenda kujilipua koo nakuomba ubadilishe avatar maana naogopa ata kuingia jf nibudurike kwa sababu nikiiona tu avatar yako nakula mkono
 
Mkuu, naona umeingia choo cha watoto.....
Huyo Khantwe ni mwanaume....
 
Hiki kipind sio cha kutongoza mademu mnajua Kutongoza demu kipindi hiki ni sawa na kuhamia Nyumba yenye Deni la luku
@numbisa mrembo mimi nimemuomba tu abadilishe avatar ili niache kujilipua wala sijamtongoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom