Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 758
Kwenye kutokujua luga hapo umenena kweli tupu maana ndiyo hasa tatizo langu! Ila mengine kwakua wewe unatawaliwa na hisia labda nikuulize swali unataka ni kwambie ukweli ama nikwambie kile moyo wako unataka kusikia ili kutimiza haja ya moyo wako? (kujifariji). Vijana wengi sana wakitanzania wako huru kimawazo hasa wale ambao wazazi wao walikuwa in practice Nyerere's followers sasa wewe kwa sample yako ndogo ya akina Riz1 and the cores unataka ku generalize wote ni kosa kubwa sana. After all angalia mawazo ya wachangiaji hapa ambapo ukiyasoma tuu wanaamini sana katika haya hata bila uhalisia. Hapa watu wakijibu hoja za Wilium unaona kabisa hazilengi katika hoja bali cheo cha baba yake na wengine wanaamini kabisa he is in a better position to bring significant change kama atakuwa in their favours. Hawamcchukulii Wilium kama one of their ranks he is given a special position hata bila yeye kujiweka hapo. Hapo niambie ni tatizo la nani? Wilium ama wale ambao wameji classify na kujiposition kwenye nafasi za kutoweza kumchallenge na wanaishia kumtukana na wengine kulaani ishara ya defeat!
To me Wilium is just like any other kijana wakitanzania kama ameshindwa kuleta gud welfare inamaana na mimi nikishindwa basi sote hatuna tofauti. Lakini kwakua naamini yeye to some extent ameweza kwa nafasi yake kwa mfano kuja na wazo la JF kama magazeti yanasema ukweli this is very independent from Malecela's ideas and shows the diference between. Sasa yeye kaweza huko inamaana mimi naweza kivyangu maana na talent zangu ambazo yeye hana. Na mimi hili likiingia vizuri kwenye ubongo wangu sita angalia viongozi wa CCM walioamua kuwaweka watoto kwenye madaraka kama threat bali ni weak agents ambao I can easly technically defeat them maana mimi ni kama siko kwenye hiyo kubebwa maanake nimekutana na challenge nyingi sana ambazo zinanipa opportunity ya kuwa out compete. Ndiyo maana huwezi mlinganisha Lisu, Kitila, Mnyika, Zitto etc na mtoto yeyote wa kibosile aliyebebwa na kupachikwa kwenye position wasimame kwa hoja na ionekane kawa defeated ndiyo maana walijiamini wakaenda upinzani. Lakini usisahau kuna Makongoro Nyerere aliye onyesha anaweza; vincent Nyerere and many other ambao wako under ground. Nilichotaka kukuonyesha nikuwa sample yako ni ndogo kuja na general conclusion. Na ku spot Africa tu ni kuionea mbona huzungumzii akina Bush; Hilary Clinton etc ambao wazazi/waume wao walikua kwenye vyama walivyovitumia kupigania madaraka? Wengi wa challengers wakubwa hapa JF na amini ni hao hao unaowalaumu nahisi waki reveal ID zao utashangaa kuona na utabadili kauli yako haraka sana!
Nadhani una-matatizo mengi siyo lugha pekee ingawa lugha ndio unalolijua kwasasa! Kwanza soma vizuri hoja yangu haiongelei mtu, wewe akili yako inamwaza Willy, ongelea tatizo ndipo utajua pakuanzia lakini kama upo hapa kujadili mtu nadhani haupo sawa Mkubwa, tazama umefikia hata kufunga mjadala wako kusema kuna 'sample size' unataja hadi jina la RIzi! ukitaka kuongea sample kwa maana hoja kuwa wapo wachache hunabudi kutaja ipi ni sample kubwa unayodhani itakufurahisha! na utueleze hiyo size unayotaka unairejea wapi.
Husijifanye kujua wapo wanaojua zaidi yako humu ndani! we toa mchango wako nakushauri weka mjadala wako kulenga tatizo siyo ukubwa na kujadili mtu kama mtu, kama unamtumia mtu mtumia kama jukwaa. Pia ukisha weka mtazamo wako katika kujadili tatizo uje na hoja pia niwakati gani kwa uelewa wako ukubwa wa tatizo fulani linaweza kuchukuliwa kama tatizo! au hilo tatizo unataka liongelewe likiwa na ukubwa wa aina gani? (wewe unaita sample! hata hujui maana ya sample sijui umesoma wapi wewe)