Kwako Kaka William Malecela

- Well, Mkuu sana Masa heshima yako na ahsante sana kwa ujumbe wako, naomba kusema hivi:-

1. CCM ni chama kikubwa sana kuliko Mukama na Nape, waliowavua ujumbe wa NEC na CC mafisadi sio Mukama na Nape, isipokuwa ni chama cha CCM collectivelly.

2. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndiye Rais wa Jamhuri kwa sasa, ndiye mtendaji mkuu wa chama CCM na amesema wazi kabisa kwamba maneno ya Nape ni yake pia, kwenye siasa za taifa hapo ndio mwanzo na mwisho, hakuna mwingine tena hata awe Mukama, Mwenyekiti ndio; FULL STOP WA YOTE!

3. CCM kujivua magamba, ninaliamini kwa 100% kwanza tayari lilishaanza na sasa ni process tu kwenye kusomga mbele na kujivua na ni kwa speed ya CCM sio ya Chadema au anybody else! na kama kweli Rais wa sasa haamui maamuzi bila hao mapacha, basi wangekuwa bado wapo CC na NEC, na kama kweli Lowassa ana nguvu kama inavyosemekana basi angekua Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, siku aliponyimwa hivyo nafasi ukienda kuanglia records humu JF utaona nilisema wazi kwamba ulikuwa ndio mwisho wake politically, sasa jiulize nani aliymenyima hiyo nafasi?

4. Kuhusu Tawi, kwa kweli kama nilivyoahidi nipo mbioni kulifungua very soon bado some very few touches ninazipitia kabla halijasimama, na mimi binafsi sina nia ya kuongoza tawi hilo, nitaliongoza kwa muda tu kuelekea kusimama na kuwaachia wengine maana in the wake ya habari za ushiriki wangu hapa JF last two weeks, nimeongezekewa sana na shughuli ambazo sasa zinaanza hata kunizidi kimo kwa sababu watu wanahitaji sana msaada wa mawazo! So!

- Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!

William @ NYC, USA.

kaka unahitaji kikombe cha babu.
 
William

Mimi nilishajitoa kwa public na nina ID yangu nyingine ambayo ina jina langu kamili na signature yangu halisi

na ninajitahidi sana kupigania nchi kuliko chama.... lakini pamoja na hayo sijaona gamba dogo wala kubwa likitoka mkuu tena kwa spidi ya CCM
 
Maneno mazito sana haya! Kiasi nakubaliana na wewe ingawa umekuwa mjanja sana umenijibu kisiasa zaidi. Kama mwenyekiti ni tatizo huoni kuwa maamuzi yake yanaweza kuweka CCM pabaya? Kumbuka Raisi huyu aliye madarakani anamaliza muda wake 2015, CCM itaendelea kuwepo na ingependa iendelee kushika dola kwa miongo mingi mbele. Nadhani ifike wakati kofia ya Rais itenganishwe na Uenyekiti wa chama kusudi kama raisi anaharibu basi mwenyekiti aweze kuwa anampa mwongozo kwa sera za chama. Kuna Kada mmoja msibani hapa anadai CCM itakuwa imara iwapo Kikwete ataachia uenyekiti na apewe mtu mwingine makini kama Salim A Salim hata Kinana....walisemeaje hili?

Kuhusu ushauri wako

Wengi tutaufanyia kazi ila bado kidogo

Tupo Pamoja

[Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!]

- Binafsi ninasema bado CCM tunahitaji Mwenyekiti wa chama kuwa ndiye mgombea u-Rais wa Jamhuri, bado hatujawa strong enough kusimama kikatiba ya chama chetu, maana unaweza kufanya hivyo only tu kama uko strong kikatiba ya chama, miaka 50 bado ni michache sana, wenzetu huku wana miaka 300 na kitu sasa ndio maana wanaweza ku-afford mwenyekiti wa chama kutokua Rais.

- Again, CCM is bigger that Rais wa sasa na anybody, sasa hatuwezi kutenganisha kofias just because of Rais wa sasa, kama Salim is that good angekua amechaguliwa na wananchi kushika nafasi hiyo, I mean hoja zingine sometimes you wonder kama kweli wanaozitoa wanaitakia mema CCM.

William @ NYC, USA.
 
kwamba gamba jipya ni sanaa kwa wasanii?kama nimekosa nikupe mji..
Kwanza ni kuwa anaweza kumaanisha kila kitu alichoandika kuwa ni kweli, na pili ni kuandika kwa kukubali kwa kukashifu tu, kumbe kila neno ni kinyume cha hapo.(sarcasm).
 
-
1. CCM ni chama kikubwa sana kuliko Mukama na Nape, waliowavua ujumbe wa NEC na CC mafisadi sio Mukama na Nape, isipokuwa ni chama cha CCM collectivelly.

2. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndiye Rais wa Jamhuri kwa sasa, ndiye mtendaji mkuu wa chama CCM na amesema wazi kabisa kwamba maneno ya Nape ni yake pia, kwenye siasa za taifa hapo ndio mwanzo na mwisho, hakuna mwingine tena hata awe Mukama, Mwenyekiti ndio; FULL STOP WA YOTE!

3. CCM kujivua magamba, ninaliamini kwa 100% kwanza tayari lilishaanza na sasa ni process tu kwenye kusomga mbele na kujivua na ni kwa speed ya CCM sio ya Chadema au anybody else! na kama kweli Rais wa sasa haamui maamuzi bila hao mapacha, basi wangekuwa bado wapo CC na NEC, na kama kweli Lowassa ana nguvu kama inavyosemekana basi angekua Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, siku aliponyimwa hivyo nafasi ukienda kuanglia records humu JF utaona nilisema wazi kwamba ulikuwa ndio mwisho wake politically, sasa jiulize nani aliymenyima hiyo nafasi?

William @ NYC, USA.

@William, kwenye red
1.chama cha CCM collectivelly - In all probability haya maneno yalifikia ukomo tarehe 31 October 2010. Kuanzia tarehe 1 November 2010 naweza kusema CCM ni collection ya splinter groups. Hili halina mjadala na wala halihitaji ku-spin.

2. tayari lilishaanza na sasa ni process tu kwenye kusomga mbele na kujivua na ni kwa speed ya CCM - Nakubaliana na wewe kiasi kwamba kweli CCM walianza process ya kujivua magamba lakini nasikitika kusema wamekwama kutokana na giza totoro mbele yao. Wamekwama vibaya saaana William sijui nitumie maneno gani ila elewa kwamba huwezi kukata mkono unaokulisha.

3. mwisho wake politically - Hii habari ya Lowasa kuisha politically nayo imekuwa kama ghost - haitekelezeki hata kidogo. Kwa kifupi kama unataka kummaliza politically inabidi urudi nyuma na kukwangua hata ule ushindi wa kishindo wa 2005. Impossible! Na kumbuka ni kipindi hizi splinter groups zilizaliwa, sasa zimekuwa!

William, sitaki kukukatisha tamaa maana you are fighting for what you believe in, ila hata hilo tawi la ccm-NYC you have work out ni tawi la ccm itikadi, ccm kafara, ccm desciples au ccm nusu-kaputi. It is that bad my friend. good luck & please do send us a post card!
 
Sisi tulifikiri mnafikiria jinsi ya kutatua shida za wananchi, kumbe juhudi zote ni kujibu makombora ya Slaa!. Ama kweli kazi tunayo!.

Hapo ndio tofauti ya viongozi na watawala kwani watawala wanajali nafsi zao nyinyi lwenu tu !
 
Naheshimu mawazo ya members mliotangulia, lakini siku zote mkumbuke kwamba CCM ni chama cha kushinda uchaguzi tu. na ikishashinda uchaguzi kwa njia yoyote ile, kazi inayofuata ni kujiandaa kushinda uchaguzi mwingine.
Kama kuna mwenzetu hapa amepitiwa ambaye anadhani CCM ni chama cha kuleta maendeleo basi ajitazame upya na ikiwezakana akapime akili zake hospitali.
 
- Binafsi ninasema bado CCM tunahitaji Mwenyekiti wa chama kuwa ndiye mgombea u-Rais wa Jamhuri, bado hatujawa strong enough kusimama kikatiba ya chama chetu, maana unaweza kufanya hivyo only tu kama uko strong kikatiba ya chama, miaka 50 bado ni michache sana, wenzetu huku wana miaka 300 na kitu sasa ndio maana wanaweza ku-afford mwenyekiti wa chama kutokua Rais.

- Again, CCM is bigger that Rais wa sasa na anybody, sasa hatuwezi kutenganisha kofias just because of Rais wa sasa, kama Salim is that good angekua amechaguliwa na wananchi kushika nafasi hiyo, I mean hoja zingine sometimes you wonder kama kweli wanaozitoa wanaitakia mema CCM.

William @ NYC, USA.

Ndugu William kwani huyo anayechaguliwa kushika nafasi zote mbili ana miaka 300? Alijifunza wapi kuw Rais na mwenyekiti wa chama kwa pamoja? Na huko alikojifunzia alikuwa peke yake?. In maana Tanzania hatuna uwezo sasa hivi wa kutengeza utaratibu ili kila mtu awe na area of focus badala ya huu mfumo wa kachumbari? Kenya wamepata Uhuru baada ya sisi na tayari wako mbele ki-mfumo, pamoja na matatizo ya baadhi lakini you can see these guys are on the move. Sisi tumebaki na huu umbilikimo wa mawazo -wachanga hili wachanga lile. Nakataa hoja.
 
Masa baada ya kugundua jamaa ni share holder unatetemeka! unaogopa ban nini (joke). Huyo mwache abaki huko huko kuna watu wako upande huo ili kutimiza jambo fulani, ni mpango kamili. Hivi unafikiria Mungu anashindwa kumwangamiza shetani aka lucifer? la hasha ila ni kwa sababu Mungu anataka unconditional love!

- Unajua Mungu alituumba sometimes kusema our fears bila kujua, it takes a lot ku-figure out anachokisema binadam mwingine na asichokisema, maisha yangu hayakuhusu jali yako hapa ni uwanja wa hoja za siasa kuhusu taifa. Ninachokifanya hapa New York na nisichokifanya hukijui na wala hutakuja kujua, kama ambavyo ulikuwa hujui ya shareholding hapa, jali ya kwako achana na mimi kuna siku utajua sehemu zote ninazoshiriki ndio utashangaa zaidi ha! ha! ha!!

- Jumapili I had a great talks na Mheshimiwa Tundu Lissu, maana ndio wanaojua hasa kinachoendelea kwenye taifa letu na tunaheshimiana sana maana wanaheshimu sana mchango wangu kwa taifa, ya Mungu na lucifer huwezi kuchanganya na siasa! Wasalimie!

William @ NYC, USA.
 
..............................................

- Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!

William @ NYC, USA.

Mkuu inabidi wengine waendele au tuendele na majina haya haya ili jf iwe na michango iliyoendela shule.

Wengine wakijivua "magamba ya majina" watabaki kuwa wanafiki sababu ya nafasi zao au ajira zao au tender zao au familia zao. Hivi tulivyo na haya magamba we can call a spade a spade bila kuuma uma maneno inagwa nasi au wazee wetu wako huko huko kwenye magamba original wakila keki ya taifa teh teh teh .

Inawezekana tofauti yako na sisi wenye majina feki ni kuwa wewe unauma uma maneno sisi wenye majina yenye magamba ni straight to the point. but sote lengo letu ni moja......

Huwa naona post zako na Idea zako sometine na zetu hazitofautiani .Tofauti na kikwazo kwako ni hiyo screen name inakufanya kuzunguka kama treni.

Nilikutumiga issue fulani sijui mwaka juzi mpakaleo kimyaaaaa

Tuko pamoja teh teh teh

Chama mbadala wa hiki cha CCM ndio inaelekea kuwa tatizo tena. Kama CHADEMA ile MA ni MAANDAMANO tunatakiwa kutafakari upya. Kama Dr Slaa peke yake anakung'uta mil 7.5 ya ruzuku yetu hawezi kuwa mwenzetu tena.

What is 7.5???????? unaona nyingi sana??????? dr slaaa anatakiwa kupata mshahara kama au zaidi ya anaopata mbunge sababu lile jimbo aliloaacha kule ni kama lake. May be sema mbunge wa bunge linaloongozwa chini ya serikali ya CCM anapata shilingi ngapi kwa mwezi?
 
- Well, Mkuu sana Masa heshima yako na ahsante sana kwa ujumbe wako, naomba kusema hivi:-

1. CCM ni chama kikubwa sana kuliko Mukama na Nape, waliowavua ujumbe wa NEC na CC mafisadi sio Mukama na Nape, isipokuwa ni chama cha CCM collectivelly.

2. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndiye Rais wa Jamhuri kwa sasa, ndiye mtendaji mkuu wa chama CCM na amesema wazi kabisa kwamba maneno ya Nape ni yake pia, kwenye siasa za taifa hapo ndio mwanzo na mwisho, hakuna mwingine tena hata awe Mukama, Mwenyekiti ndio; FULL STOP WA YOTE!

3. CCM kujivua magamba, ninaliamini kwa 100% kwanza tayari lilishaanza na sasa ni process tu kwenye kusomga mbele na kujivua na ni kwa speed ya CCM sio ya Chadema au anybody else! na kama kweli Rais wa sasa haamui maamuzi bila hao mapacha, basi wangekuwa bado wapo CC na NEC, na kama kweli Lowassa ana nguvu kama inavyosemekana basi angekua Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, siku aliponyimwa hivyo nafasi ukienda kuanglia records humu JF utaona nilisema wazi kwamba ulikuwa ndio mwisho wake politically, sasa jiulize nani aliymenyima hiyo nafasi?

4. Kuhusu Tawi, kwa kweli kama nilivyoahidi nipo mbioni kulifungua very soon bado some very few touches ninazipitia kabla halijasimama, na mimi binafsi sina nia ya kuongoza tawi hilo, nitaliongoza kwa muda tu kuelekea kusimama na kuwaachia wengine maana in the wake ya habari za ushiriki wangu hapa JF last two weeks, nimeongezekewa sana na shughuli ambazo sasa zinaanza hata kunizidi kimo kwa sababu watu wanahitaji sana msaada wa mawazo! So!

- Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!

William @ NYC, USA.

I am disgusted by such comments! Siamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza ku-support ccm. Sijui mnaona nini huko ccm mpaka mfie huko. Kama ni sera ni bora muanzishe chama kipya chenye sera hizo na nyingine bora zaidi kuliko kung'ang'ania kufufua maiti!
 
- Well, Mkuu sana Masa heshima yako na ahsante sana kwa ujumbe wako, naomba kusema hivi:-

1. CCM ni chama kikubwa sana kuliko Mukama na Nape, waliowavua ujumbe wa NEC na CC mafisadi sio Mukama na Nape, isipokuwa ni chama cha CCM collectivelly.

2. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndiye Rais wa Jamhuri kwa sasa, ndiye mtendaji mkuu wa chama CCM na amesema wazi kabisa kwamba maneno ya Nape ni yake pia, kwenye siasa za taifa hapo ndio mwanzo na mwisho, hakuna mwingine tena hata awe Mukama, Mwenyekiti ndio; FULL STOP WA YOTE!

3. CCM kujivua magamba, ninaliamini kwa 100% kwanza tayari lilishaanza na sasa ni process tu kwenye kusomga mbele na kujivua na ni kwa speed ya CCM sio ya Chadema au anybody else! na kama kweli Rais wa sasa haamui maamuzi bila hao mapacha, basi wangekuwa bado wapo CC na NEC, na kama kweli Lowassa ana nguvu kama inavyosemekana basi angekua Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, siku aliponyimwa hivyo nafasi ukienda kuanglia records humu JF utaona nilisema wazi kwamba ulikuwa ndio mwisho wake politically, sasa jiulize nani aliymenyima hiyo nafasi?

4. Kuhusu Tawi, kwa kweli kama nilivyoahidi nipo mbioni kulifungua very soon bado some very few touches ninazipitia kabla halijasimama, na mimi binafsi sina nia ya kuongoza tawi hilo, nitaliongoza kwa muda tu kuelekea kusimama na kuwaachia wengine maana in the wake ya habari za ushiriki wangu hapa JF last two weeks, nimeongezekewa sana na shughuli ambazo sasa zinaanza hata kunizidi kimo kwa sababu watu wanahitaji sana msaada wa mawazo! So!

- Mwisho naomba kutoa ushauri wangu wa bure hapa JF, kwamba wakati umefika kwa baadhi yetu kujitoa nje to the public ili mfahamike na muweze kutumika kulisaidia taifa letu changa, maana hapa kuna watu kama wewe na wengine wengi ambao wana mawazo makubwa sana, lakini wenye shida hawawezi kukutafuta na hili jina, I mean ni ushauri wa bure tu!
William @ NYC, USA.

Ujumbe maridhawa kabisa huu. Nadhani Port amekupata na atatekeleza kikamilifu.

Lakini ndugu yangu William unasahau kitu kimoja. Katika vinchi vyetu vichanga vinavyoendeshwa kama kampuni binafsi..ushauri wako hautekelezeki. Mtu hukawii kuweka jina lako hapa......kesho ukienda hata kununua luku Tanesco unanyimwa! MKUBWA WEWE UKO LIGI TOFAUTI......Kwanza uko majuu harafu kama unavyojua tena 'Jina' la mzee Tinga tinga ni passport tosha kukupitisha mlango wowote katika jamhuri yetu. Kwa hiyo ushauri wako kwa Mchungaji ni mzuri lakini ni vema akawa makini. Safari yetu ya demokrasia bado sana mkuu.
 
Bwana WM usikate tamaa na hizo porojo. CCM sasa imepata makamanda wa kupambana na kelele za Dr. Slaa. Hawa watu walizoea wao kupiga makombora na akina Makamba kutulia, siku hizi tz mambo mswano, Dr. Slaa akitoa kashfa kuhusu ufisadi wa CCM, Nape anajibu na vielelezo wa UFISADI wa Dr. Slaa.

Hao CDM kesho wana mkutano Songea, leo CCM ina mkutano Songea; KUMEKUCHA!!!!

if that is the case then W. Slaa (PhD) anawaongoza nini cha kusema/kufanya then he deserve to be my President now than before!! baada ya blah blaah ya rebranding (gamba) nimeichukia CCm kuliko Ibilisi Lucifer
 
sasa Brother William unaweza ukakubaliana na hali ilivyo ndani ya CCM kuwa kuna kukinzana katika utoaji wa Taarifa???? Au kwa maneno mengine maneno ya MUKAMA sio ya Mwenyekiti????

Kwa nini zile kauli alizokuwa akizitoa NAPE dhiki ya mapacha watatu kwa sasa hazisikiki??? Kapigwa BITI???

Further more kwa hali ya Maisha ilivyo hapa Home esp. huku KIGOMA nani wa Kulaumiwa???? Vp kuhusu mgao unaoendelea kulitesa taifa??? na viongozi ni wale wale wenye same old porojo.....

CHUKUA HATUA BRO'!!!!

- Well, Nape amesema mafisadi wataondolewa CCM, Nape ni my loongtime friend tunatoka mbaali sana na huu mchezo wa siasa and I trust him kwa sababu at one time in 2005 mimi na yeye we were offered big rewards kama tungejiunga na kundi flani la siasa tukakataa kwa kauli moja, nimeongea naye na ninamuamini 100%, kama sio hivyo Nape asingekubali kuchukua hii nafasi ya CCM!

- Mtatizo ya umasikini yapo hata huku ndugu yangu, ndio maana mimi ninajali sana tunakokwenda sio tulikotoka!

William @ NYC, USA.
 
Ujumbe maridhawa kabisa huu. Nadhani Port amekupata na atatekeleza kikamilifu.

Lakini ndugu yangu William unasahau kitu kimoja. Katika vinchi vyetu vichanga vinavyoendeshwa kama kampuni binafsi..ushauri wako hautekelezeki. Mtu hukawii kuweka jina lako hapa......kesho ukienda hata kununua luku Tanesco unanyimwa! MKUBWA WEWE UKO LIGI TOFAUTI......Kwanza uko majuu harafu kama unavyojua tena 'Jina' la mzee Tinga tinga ni passport tosha kukupitisha mlango wowote katika jamhuri yetu. Kwa hiyo ushauri wako kwa Mchungaji ni mzuri lakini ni vema akawa makini. Safari yetu ya demokrasia bado sana mkuu.

Sio hivyo tu nakuambia sababu ya screen name yake niliwai kumuuliza baada ya matokeo ya uchaguzi kuwa anadhani kwa nini kura za CCM zimepungua.??????? Kwa kweli jibu alilotoa sijui akirilejea leo hii atabaki anacheka tu. Moyoni anajua ukweli ila hilo jina lilimzuia kusema ukweli ambao baada ya muda tunaona wanaanza kuugundua tartibu. NI haya majina ya "magamba" yameongea ukweli miaka mingi iliyopita.

But i hope naye ana screen name nyingine ya " magamaba" ya kutoa contribution za kujenga chama chake na serikali yetu . Kwa kutumia hiyo screen name hawezi kukisaidia chama. Otherwise CCM itabki kuwa REACTIVE badala ya PROACTIVE
 
William, Matatizo ya wenzetu ni afadhali haya ya kwetu yamepita kiasi. Fikiria umeme unakatika usiku mzima na joto hili la dar na maji ya kuoga hakuna dumu mojaTsh 250 tena maji ya chumvi, hapo kaka mshahara sh 85,000 kwa mwezi? Mchele kilo 1600, Unga 1000 bado matumizi mengine...

hali ni mbaya mbaya sana, niamini mimi bila marekebisho katika uongozi wa nchi hii nakwambia hatufiki 2015, watu wa hali ya chini itafikia hatua watashindwa uvumilivu. na dalili ya tunakokwenda kwa mtazamo wangu ni GIZA kabisa, sioni mwanga kabisa kama hata elimu tunailetea maloloso (utani) yaani tunajiua wenyewe.

Ni maoni tu, sina jingine ndugu yangu.
 
Kwahiyo wale kina Dina, Afrodensi & company ambao wao jukwaa lao ni kule kwenye mahusiano kule huwa inaongelewa CHADEMA?
Huko sifikagi. Kwa nini tusiendelee na hoja iliyo mbele yetu ingawa kaalikwa mmoja tu?
 
Bin Malecela,

Kwanza Salaam,

Asante kwa maelezo mazuri.........ni vizuri kubaki 'nyumbani'.....but do you really think that CCM will get back to its old former self? Or is it a case of a sinking ship and mice?
 
Back
Top Bottom