KWAKO Baba V, S.L.P CHITCHAT .JF.

KWAKO Baba V, S.L.P CHITCHAT .JF.

Kuna jambo gani linaloendelea hapa...naona natajwa tu hata sielewi elewi.
Yanga Bingwaaaa...ngoja niendelee kusherehekea na wanaJangwani hapa Lounge
 
Dah umezungumzia TV ya asili mpaka mwili umenisisimka.
Mie kwa sasa niko bed rest, I wonder kioo chenu hakikuwaonesha hilo!!!

anyways . . . . Baba V ataipata tu barua yako wala usijali.
All the best.
 
Last edited by a moderator:
Mwanathropolojia karibu sana leo niba mbege fresha kabisa tunywe tukitafakari mustakabali wa Kipipi
Mamndenyi na charminglady wameweka oda. nikiwe naye katoka mjini jana hakuna namna atakuja tu kibandani na KakaKiiza keshaweka mitego yake hapa

Wanywaji wa kawaida watu8 na Sandeni bila kumsahau Fidel80 wapo toka kumekucha jana hawakulala wakishangilia ubingwa.

Aidha vigoli kama Mwanathropolojia Kaunga snowhite na measkron wanatumwa tumwa ugoro hapa kibandani na wazee kina MziziMkavu kwa hiyo utapata kutupia jicho. Karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Kuna jambo gani linaloendelea hapa...naona natajwa tu hata sielewi elewi.
Yanga Bingwaaaa...ngoja niendelee kusherehekea na wanaJangwani hapa Lounge

karibu kwenye kibanda cha mzee Kizer kuna sherehe leo kijijini chitchat. yanga oyeeeeeeeeeeeeee
 
Dah umezungumzia TV ya asili mpaka mwili umenisisimka.
Mie kwa sasa niko bed rest, I wonder kioo chenu hakikuwaonesha hilo!!!

anyways . . . . Baba V ataipata tu barua yako wala usijali.
All the best.

Suala sio tu kuipata barua, ishu hapa ni wewe, umeona sasa mwananthropolojia hadi anahama mji kwa sababu yako!?, huko MMU akidondokea mikononi mwa akina lara 1, R.B na wengineo si ndo tutakuwa tumempoteza, kam bek bana...
 
Last edited by a moderator:
Dah umezungumzia TV ya asili mpaka mwili umenisisimka.
Mie kwa sasa niko bed rest, I wonder kioo chenu hakikuwaonesha hilo!!!

anyways . . . . Baba V ataipata tu barua yako wala usijali.
All the best.

oh my baby umerudi,nimekutafta kweli baada ya lile bomu. mimi mwenyewe niliumwa kwajili ya watu wabaya sana
nategemea utapona mapema urudi kwangu maana tv yetu kwa MziziMkavu ilishindwa kukulocate kabisa inaonekana wamekuficha kwenye mahandaki yanayozuia mwanga wa camera zetu
ugua pole
 
Back
Top Bottom