stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
aha ngoja nikuwekee tego ufumaniwe,we si mjanja
nasikia harufu ya maombi...
aha ngoja nikuwekee tego ufumaniwe,we si mjanja
my passion unasemaje?
kwa arsenal hata mimi nakufuta machozi.
ila kwa nini unapenda unachagua magalasa?
aha ngoja nikuwekee tego ufumaniwe,we si mjanja
nasikia harufu ya maombi...
hebu tumsaidie huyu mtu anataka kuharibu ndoayangu hapa
weka huo mtego wako na sitotegeka kamwe kwani wewe hujui kuwa kwangu Mentor ameshafika mtaishia kusema na wala hamtatutenganisha kwani kilichoungwanishwa na Mungu mwanadamu hawezi kabisa kutenganisha wwe ushindwe na ulegeee ktika jina .....................?
watu kama hawa ni wanasumbua mno.
basi yaishe shemu,sitaki kugombana na dadako,nisije kunyimwa papuchi !
kweli wewe hata nikikuweka mkononi hujai haya nimekusamehe bure kabisa bila hata sent tano
hahaah i doubt km unaweza kunijaza hata kwenye pipa
dhem nawe mkali kwa dada zako
hapo kwenye red hilo neno lipo kwenye lugha gani na lina maana gani??
mothertongue anasumbua