Haha huku ni wapi wandugu?naona mwatajana mijina tu haha ha
​umedanganyika wewe!!kuna moja kwenu bado hajakamatwa nina taarifa zake.
​umedanganyika wewe!!
​mtajeeeee!!unataka nimtaje?
​mtajeeeee!!
Mh.... Karibu!
hehehe sithubutu! kuna watu tayar wapo standby kusubir nimtaje tu, waanze mbio za sakafuni
Shem nakuskia "karibu"!
Karibu unamjua? Kuna siku utakaribisha jini!
mmmmmmmmmhhhhhhhhh????????
hahahaaa!!
kumbe hujiamini!!
​mtaje kama kweli!!ah nan kakuambia sijiamin.nina confidence kama nimekunywa dawa za kinjekitile za majimaji
​mtaje kama kweli!!
ndio jina hilo umetaja au?ashiki
ndio jina hilo umetaja au?
mbona unatafta niingie vitan kabla mipango yangu ya ushindi haijakamilika?
kama maji tu atapewa hata jagi anywe, ila hata aende wapi anaota tu ndoto za asubuhi