mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
nimeona niende mjini MMU nikatafte mke mana huku kijijin chitchat nimeshindwa kupata mke baada ya Kipipi kupotea kwenye tv yetu ya asili tunayoendaga kuangalia pale kwa mzee MziziMkavu.kwani nishatambulishwa mpaka kwao na nikawakuta dadazake akina FP na snowhite na AshaDii ambao walinipokea vizuri sana.
huyu Kipipi nilimpata baada ya kumpora Erickb52 nikisaidiwa na Mrembo by Nature siku ya chitchat bora couples ambapo nilishinda mimi nikiwa na Kipipi, na Erickb52 akaleta varangati kwa kujitangazia ushindi akijifanya yeye ndio alikua
na Kipipi
baada ya Erickb52 kushindwa akaahidi kunionyesha yeye ndio bornvillager,mimi wakuja tu. na atanitumia bomu la b52 busha, model no.2 lililotengenezwa na mzee MziziMkavu mwenyewe.
Basi wakati tupo zetu porini pembezon mwa kijito na mpenz wangu Kipipi nikimlisha pipi zangu za porini za kijiti, lile bomu likatua likanisambaratisha na Kipipimpaka leo sijamuona. na lile bomu ilibid niende nikaombe msaada kwa mtaalamu IGWE tunayetoka nae kijiji kimoja cha historia aje kulitegua. na kiwatengu alinionya niachane na kipipi maana watu wa kijijin hapa ni wabaya sana hawachelewi kukutupia mabomu ya mangamizi.
baada ya kutomuona nimejarib kuzunguka kijijin hapa kuulizia mke wa kuoa nikaambiwa, ukitaka kuoa mke msomi nenda kwa kina Bishanga ana mdogo wake aitwa Kongosho, ila nikaonywa ni magumashi kwelkweli kila mwanaume aliyeenda pale amegeuzwa zombi nikaogopa sana.
Mentorl akanitonya niende nyumbani wakwe zake kina watu8 na measkron wana mabinti wengi sana akina Passion Lady, charminglady, ladyfurahia(huyu ni mke wake Mentor, hatuelewani kwa sababu nilimwonya aache tabia yake ya kwenda mjini kujitangaza yupo single anatafta mme, wakati mme wake amemwacha kijijini anakunywa mbege na KakaKiiza kwenye kibanda cha mzee Kaizer
nikishindwa kupata huku kijijini chitchat itabidi niende mjini MMU, ingawa mzabzab rafiki yangu anaeishi mjini amenionya huko mjini hakuna wanawake wa kuoa ni kugegedana tu kwenda mbele.Nikaona nimuulize mkuu Mtambuzi maana yeye kaenda mjini siku nyingi kidogo,akaanza kunielezea habari za mjini,eti kuna wanawake wanaweza kushusha Heaven on earth,kuna akina nikiwe hawana muda kabisa na mambo hayo ya ndoa, akina Gaijin wanawatumikisha wanaume kama mabwege,akina Madame B ambao wana saccoss zao,akaniambia hata wale waliotoka huku kijijin akina [MENTION]lara 1[/MENTION] siku hizi akifika kijijini chitchat hataki kufikia kwao, anafikia gesti anawasalimia na kurudi mjini.
Umenisikia ewe njiwa! usisimame popote pale hata ukiwaona akina Bujibuji, Paloma, King'asti na sosoliso wasije wakaongeza maneno ya umbea. uende moja kwa moja kwa Baba V ukampe hii barua.