Bado mnahoji hili...Arabela mwambie ua sista,.
eeh sis ndo huyo shem wako. Kumbe hamumtambui familia? Basi am sorry nakutambulisha rasmi
Atakae iba kura za mywife ahame nchi ntapiga eruptive ban..
Alafu Ngumi 1 kwa kila muhusika na Risiti juu....
Imekuwaje mpaka kufikia hatua ya kumuita mume ilihali familia hatujui?
Wewe ndo tumekulea hivyo?
Sijaupokea kabisa huo utambulisho!
zubedayo come dis way umeona my sis hajakubali utambulisho please come ujibu tuhuma

Mi nadeal na wewe mdogo wangu, huyo zubedayo simjui.
Haya nijibu ulikomuokotea huyo baunsa wako.
Dada mtu nakuomba tuyaache hayo kwanza tutayajadili baadaye kifamilia,la muhimu hapa tuhakikishe Arabela anashinda kinyang`anyiro hiki.Nawaombeni tuunganishe nguvu ili mambo yazidi kuwa mazuri kwani wapinzani wetu wameshaanza kulalamikia upungufu wa kura na kusahau kuwa walicheza rafu.Na sijui baadaye watakuja na mbinu gani...Nawaomba sana ndugu zanguni tuwe pamoja katika hili ili tumpatie Arabela zawadi nzuuuri ya kuanzia mwaka 2013 akijua wazi kabisa kuwa wapo watu wanaompenda kumjali na kumtakia mema na mafanikio maishani mwake...

ahsante umeokoa jahazi nlikuwa naelekea kupewa kichapo na sis
hureeee Cookie ,you are my friend
my sis hapo ndo ninapokupendea mwaaah
If this isn't LOVE . . . then what is it???
Come give me a hug my dear!
...............:hug:..............
Halafu hebu nisaidie bosi wangu,mbona kama naanza kumpendapenda dada mtu,ni nini hii...
NB: Ukisoma futa asije akaona ....
Arif wewe njoo ule x.mass na mimi Bunju.
Dada mtu hawezi kuona, nyie endeleeni tu na maongezi!
Mwezi ni mzuri lakini uko mbali,
Dhahabu ni nzuri lakini thamani,
Binadamu ni wazuri wengi hawana imani,
Lakini Arabela wangu weweee Masha'allaah!