Kwako Arabela.....

Kwako Arabela.....

kipipi umesema lako toka moyoni, urembo wake arabela chit chat ataipa thamani, najua ushindi ni wake yeye namba wani, kipipi nami slave ushindi twautamani, na wengine twawaomba tupige kura za ndio.

Ameen ndugu yangu!
 
jaman naombe kura zenu chitchat ipate mrembo bora na sio bora mrembo
 
Wimbo huu ninautuma mahsusi kwa wale wasiomtakia ushindi Arabela na wale ambao hawajapiga kura mpaka saa bado tunawaomba wasipoteze kura zao kwa kumpigia mshindani atakayeangushwa katika shindano hili,hivyo kuliko kupoteza kura yako ni vyema ukampigia kura Arabela...

Last edited by a moderator:

Madame x,
Mary Roza,
Bishanga,
Rutashobolwa,
Kaka mukubwa
Na wengine wote..huu ndo muda kupiga kura kwa arabela..fanyen fasta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom