Kwako Arabela.....

Kwako Arabela.....

Kuna watu wanalalamika eti kura zao zinapungua,Hakikisha tunalinda kura zetu. Kaeni inchi mbili toka kwenye poll
 
Dua zangu kwa mungu ni juu yake arabela asiwe kama upepo wa kufuata bendela ni mkarimu tanzania hata south kwa mandela wana chit chat wanampenda kwa zake fikra kuwa mbele wengine wapige domo kura zaenda kwa arabela karibu na wewe kura mpe arabela.

Mwezi ni mzuri lakini uko mbali,
Dhahabu ni nzuri lakini thamani,
Binadamu ni wazuri wengi hawana imani,
Lakini Arabela wangu weweee Masha'allaah!
 
Last edited by a moderator:
U mrembo binti,na sio kwamba ninakusifia,hapana ila ndio ukweli wenyewe na hata kama nitaamua kukusifia basi sina shaka kuwa Dunia nzima haitoweza kujaa vitabu vyenye sifa zako.Ila kikubwa kilichonisukuma kuandika waraka huu kwako ni upole wako na mapenzi yako kwa kila mtu,awe mkubwa au mdogo.Umebarikiwa upole kama wa njiwa na busara zisizopimika.Ninajua kuwa una wakati mgumu sana hasa kipindi hiki ambapo vijana wa kila aina wenye uwezo na sifa tofauti wanapojitokeza kwako kuomba hifadhi katika moyo wako.Lakini kwa upole na hekima ya hali ya juu umeweza kuwajibu kistaarabu na kuendelea na maisha bila kumuumiza kiumbe yoyote aitwaye mwanaume aliyewahi kukupenda.Binafsi ninaelewa wazi kuwa sina uwezo wa kukumiliki na kuwa baba wa watoto wako,ila hilo halinizuii mimi Mtakatifu kusimama na kusema kuwa unastahili kuwa Miss Chit Chat wetu wa mwaka huu.Na nina imani vilevile hata baada ya wewe kutwaa taji hili basi utaendelea na ustaarabu wako na upole wako na mapenzi yako vile ulivyojaaliwa.
Nisikuchoshe na maneno mengi ila tu ninakutakia kila La akheri na kuomba kila atakayesoma uzi huu basi akupigie kura wewe ili uweze kuwa Miss ChitChat wa mwaka huu.
Copy: Baba V Erickb52 Filipo marejesho Kipipi Pombekali Arabela Dark City Mungi Asprin

Atakae iba kura za mywife ahame nchi ntapiga eruptive ban..
Alafu Ngumi 1 kwa kila muhusika na Risiti juu....
 
Last edited by a moderator:
Atakae iba kura za mywife ahame nchi ntapiga eruptive ban..
Alafu Ngumi 1 kwa kila muhusika na Risiti juu....



Ni hapo sasa na hivi nimesikia sasa hivi faini ya ngumi imeshuka toka 50,000/= mpaka 30,000/= imekuwa raha kweli,anapewa ngumi mbili na wekundu wa msimbazi sita hakuna kesi...
 
Dua zangu kwa mungu ni juu yake arabela asiwe kama upepo wa kufuata bendela ni mkarimu tanzania hata south kwa mandela wana chit chat wanampenda kwa zake fikra kuwa mbele wengine wapige domo kura zaenda kwa arabela karibu na wewe kura mpe arabela.

Nimekukubali Slave
 
Last edited by a moderator:
Ni hapo sasa na hivi nimesikia sasa hivi faini ya ngumi imeshuka toka 50,000/= mpaka 30,000/= imekuwa raha kweli,anapewa ngumi mbili na wekundu wa msimbazi sita hakuna kesi...

Mi napga special fist...ukipgwa huvimbi mpaka baada ya wiki 2 haina ushahd....
 
Alafu wewe huyo ndo mume wako?
Kwa ndoa ipi na mlipatana lini??

Mie mbona sina taarifa?

eeh sis ndo huyo shem wako. Kumbe hamumtambui familia? Basi am sorry nakutambulisha rasmi
 
Back
Top Bottom