Kwa ninavyomjua St. Paka Mweusi ,.....Basi hapana shaka Arabela dawa yako kali aisee,na kama ni ya kuchoma bas umeichoma kwa moto wa petrol
Yule baunsa anaetembeaga toka kimara hadi kariakoo!? Sijamuona masiku kibao hapa ndani, hajaonekana hata kumpigia kampeni mkewe
yani simuoni hatakujafanya kampeni wala kupiga kura
hamna dawa ni upendo,ukarimu na kumheshimu kila mmoja
Sijui nini kimemsibu,tangu tumeanza kampeni na kupiga kura hajanipa mkwara, labda atakuwa kwenye BAN
heshima yako mkuu. nakutakia siku njema na maandalizi mema ya x-mas. Mungu wangu aendelee kukubariki hadi ushangae. mia
heshima yako mkuu. nakutakia siku njema na maandalizi mema ya x-mas. Mungu wangu aendelee kukubariki hadi ushangae. mia
Hebu nenda kwenye Poll basi mpigie kura ili awe miss wetu wa mwaka 2012
mtakatifuuuu ahsante sanaaa yani sifa zooote hizo ninazoo dah yani katika siku ulizonifurahisha ni leo
hakuna kitu kizuri duniani kama kusifiwa japo huwezi amini kuwa sifa zote zako na zinakustahili ila ukweli ndo huo. U mrembo mtoto wa kinyamwezi mrefu twiga hata mtembeo wako usio na pupa nao ni sababu ya kusifiwa.

my dia sis me love you sana. Thanks for being there for me
And I will always be there for you figganigga.
hahahaaa...!!!. umeona nlivyo chakachua? natamani ngonzizo za mazima!. mia
jamani nimetafuta sehem ya kupigia kura sioni.baba v nipe link chapchap.
And I will always be there for you.