Vipi mizigo ushaweka Tayari uuuh! aaah
usijechelewa ukaachwa na gari uuuhh aaahh!
basi jikaze tu Mpenzii Utuombee uje urudi Mpenzi..aaah!
Zile Tabu nja njaa Msumu mzima mavuno hakuna...aah!
najua kinachokukimbiza mpenzi....
Tabu na raha wewe hapa JF ndio utapata
najua wataka raha pekee,
najua huwa unakosa raha ukikosa wa kukusemesha roho inakuuma ndio waamua kutuacha sababu pesa hatuna..aah!
Ndio kanisani kusaka wachumba aaah
basi huku watoto wakikulilia nitawadanganya kwa vibajia
lakini pipi usisahau kuwaletea ukirejea toka kanisani....
Maneno yako yananikosesha raha na mawazo ooh! mwenzio sijawahi fika huko kanisani