kasome jiandae na SUPsNjoo nisaidie maths physics na chemistry pleasee ndio masomo yangu.
Wikii hii napiga hayo masomo moja moja
Siwezi hivyo kila mtu anaakili yake.sio kweli mkuu jf inaleta peace of mind.... watu toka first year siku za paper tunaliwazika humu free time kurefresh mind na hata sup hatujawahi gusa wewe inakuwaje
Haya madamHaya, kila la heri, ukirud uwe mtu mzima sasa sio katoto tena.