Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,218
- 24,550
Anakula katoto kabichiiii!!!! Acha tuuuu....ila mambo hayaa acha tu!!! Yule ni kama mdogo wake tu ila ndio mkewe now.....ni boss boss pale CRDB.....mrembo mmoja hivi! Anakula kwa nafasi na amekuwa kama mke wake kabisa!!! Ni hayo tuuBinafsi namtakia Maisha Mema uko aendako