GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,061
Ma
Marekan wana 5 stars wew ndo cheo cha mwisho wanamuita general of the amry kule command zinaongozwa na general. Halafu GA ndo mkuu wa majeshi yote mjifunze hata ku google
Soma uzi mzima halafu urudi tena ueleweshwe.
Au kukusaidia nitajie jina la general of the army(unayesema ana 5stars) halafu nitajie rank ua chairman joint chiefs.
Umesema kweli kuwa kila kamandi inaongozwa na 4star General hapo tunakubaliana. Ila hata mkuu wa CENTCOM ni general(4star). Na kuna mtu aliye juu yake hapo(majukumu) ila rank yake ni 4stars/equivalent.
Itakua vizuri sana ukinitajia mwenye nyota tano mimi sijui kugugo