Au Ubalozi....Hongera kamanda na jipange kwa ubunge.
Ni kweli! Hiki cheo alipewa na JK!General mrisho sarayakikyaa.. NENDA SHULE YA MAKONGO ANGALIA JUU WALICHOANDIKA ELSE TUKAWASHAURI WAITOE.. TUWEKEE KUMB NO
Au Jenerali Twaha Ulimwengu yule wa Gazeti la Raia Mwemakaribu sana luteni jenerali Venance Mabeyo
Kwa kuongezea tu....hao magenerals hawana commanding powers kisheria....mwenye nayo ni RaisUS jeshi lao kiuongozi ni :
1. Commander in Chief -president
2. Secretary of Defence
3. Chairman joint chief of staff
4. Command generals
5. Generals katika level mbalimbali
Hawa chairman na command generals wote ni 4 star generals na kuna 4 star generals wengine wengi tu huwa wanafika kati ya 15 mpaka 20 hivi wakiongoza vitengo mbalimbali
Hii ni nchi nyingi ndivyo katiba zinavyoelekeza mkuu wa nchi ndie anaeamuru nchi iingie vitani.Kwa kuongezea tu....hao magenerals hawana commanding powers kisheria....mwenye nayo ni Rais
Nope. Nyota haziendi hivyo. US ikiingia vitani kunakuwa na 5 Star General.Hapana ni hivi
Brigadier Gen =1 star
Major Gen= 2 Stars
Lt Gen= 3 stars
General= 4 stars.
Na sifikiri kama kuna jeshi duniani lenye 5 star general.
Sio kweliBrig Gen-1 star
Maj Gen-2 Star
Lt Gen-3 star
General -4 stars
Huo ndo mfumo dunia nzima. Tofauti ni majukumu na majina tu. Na pia mlinganyo uliopo kati ya Land Forces(wengine wanaiita army??), Air Force na Navy
Katika literature nyingi wanasema mtu pekee aliyekuwa 5 stars General ni G. Washington(naye nadhani alipewa kwa heshima posthumously kama sikosei)
Inawezekana Bongo hatuna. Siujui mfumo wetu maana karibia kila kitu ni siri.5* general kwa bongo hakuna, kwa Trump yuko na ni preserved during war time.
Nope. Nyota haziendi hivyo. US ikiingia vitani kunakuwa na 5 Star General.
Sasa labda kama mfumo wetu useme uko hivyo na unahitaji kuleta evidence!
5 Star Generals of American Military History
Sio kweli, mbona sarakikya hakuwa General lkn alikuwa mkuu majeshi??General ni uteuzi unaofanywa na rais au taratibu husika na sio mlolongo wa vyeo ambao lazima kila afisa wa ngazi za juu jeshini aufikie,
Huwezi kuwa mkuu wa majeshi kama huna cheo cha general, upo hapo?