BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Katika sherehe za kuuaga mwaka wa 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 mjirushe kwa raha zenu, kwa wale ambao mtakuwa mnaendesha basi mnywe kilevi aste aste ili muweze kwenda na kurudi salama salmini. Nawatakia heri na baraka katika mwaka mpya wa 2014. Jisikie huru kuweka nyimbo yoyote uipendayo hapa. Fixed Point, Sikonge BelindaJacob, MziziMkavu, farkhina na wengineo wote come this way please!!
Last edited by a moderator: