Ujawah ckia kuna mdada alipewa lift kufika mbele akatolewa kitu anyonyeshe inavosemekana ilikua ni jin tena imetokea mara nyingi tu na kisa ni lift
Mi nkajua katolewa kitu anyonye?
Ujawah ckia kuna mdada alipewa lift kufika mbele akatolewa kitu anyonyeshe inavosemekana ilikua ni jin tena imetokea mara nyingi tu na kisa ni lift
Mi nkajua katolewa kitu anyonye?
atajuaje kama we ndo OLESAIDIMU
Mi nkajua katolewa kitu anyonye?
hahahahahaWeeee naye kama ndio umekuja leo?????? Wakati ni pacha wangu!!!!
Aaargh mwisho utashangaa tembo mkubwa anazama samaki ndama anaogelea!!!!!!
Changamukaaaaa!!!!!
yaani gari yangu imetoka kuoshwa 5min ago,na hizi mvua za dar nimpe mtu lift na matope yake na jinsi alivyoloa,na ki vitz changu kilivyo chini hivyo ukilinganisha na mabonde ya hapa riverside kibangu, weweeeeee hiyo haipo,mleta mada nashawishika kukuita mlevi
Ajiita mchaguzi huru, naona watu wameshaanza kumupuuza, page ya tatu toka jana.
badilika si kila kitu uandike.
Hahahahah....mate hujatulia wewe
tumboo unapenda kutunyonya uto??Si bora kunyonyesha iyo kitu mbona ni raha sana kuinyonya lakin jini loh apana
Inshu ni kwamba, watz tujitambue.... kwamba hakuna maana yoyote wewe kutoka Kimara kwenda posta ukiwa pekeyako kweye gari yenye uwezo wakubeba watu wa4。Huu nauita Ubinafsi. Ili uwasaidie wenzako na upunguze matumizi yako (mafuta na matengenezo) ni bora upande public bus.kufanya hivyo utakuwa umesaidia kupunguza folen zisizo za lazima hapa mjin nakuwafanya wasio na usafiri binafsi wawahi wanapokwenda.
Mi nashauri itungwe sheria ndogo ya jiji kuwadhibiti watu wenye usafiri binafsi kuingia katikati ya jiji...
Ni maoni sio kesi wadau....
Yani jamaa pumba kinyama
phd yako umripstia wspi sijui......pumba tupu huwezi kumpangia mali ya mtu.mtaolewaaaa