Kwa wenye magari binafsi piteni hapa

Kwa wenye magari binafsi piteni hapa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Ningekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ingekuwa ni marufuku kwa mtu yeyote yule kuendesha gari yoyote ile akiwa peke yake ndani ya gari.

Haiwezekani mtu atoke posta akiwa kwenye gari yenye siti nne na nyingine zina siti sita halafu mtu yupo peke yake wakati kuna watu wanasubiri daladala masaa mawili mpaka matatu.

Najua ni gari yako, ulinunua kwa pesa zako na hakuna aliyekuchangia ila kwa hilo mngeniona mchungu.

Najua nitakuwa navunja sheria ila nisingewaacha. Ukaguzi wa magari hayo private kwa watu wanaotoka posta na kariakoo ungekuwa unafanyikia Jangwani kwa wanaenda Ubungo, Ubalozi wa Ufaransa kwa wanaoenda Mwenge, kurasini kwa wanaoenda mbagala na temeke, UKIKUTWA UPO PEKE YAKO KWENYE GARI UNARUDISHWA POSTA KUBEBA WATU.
____________
UPDATE: Kama kumpa mtu lift unaogopa usalama wako basi hata gari ikikusumbua usiwaombe watu wakusukume maana huwajui hivyo itahatarisha usalama wako.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukisimamisha gari karume saa mbili usiku ukasema unaenda tabata mtu apande lift unafikiri kuna mtu atapanda?

kwasasa hicho kitu hakipo na ndiomaana unaona kama ajabu ila itakapozoeleka litakuwa jambo la kawaida. Changes begin with you.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Ni kitu ambacho hakiwezekani na wala hakitakakiwezekane, utakua ndio mwanzo wa watu kuchinjwa na gari kuibiwa kama bodaboda
 
kama kila mtu atafanya gari yake iwe daladala wajasiriamali wenye daladala, makondana madereva utawapa mashamba wakalime?!! halafu ukishamwambia mtu apakie vichwa asivyovijua utampa ulinzi? hayo magari utagawa bure, spare parts bure, mafuta bure? Kuwapa lifti majirani, hasa wanafunzi wa shule ya msingi ni suala la utashi tu, lakini kwenda kituo kwa kituo ukisanya watu ni umbwiga!
 
Naomba niwatetee kidogo wenye magari... Si kwamba hawataki kutupatia lifti..ila dunia ya leo ndugu yangu imegeuka kichwa chini miguu juu. Uhalifu umekuwa mkubwa mno kiasi kwamba watu wanaogopa kutoa na kuomba msaada. Unaweza kumpa mtu lifti matokeo yake ukaishia kuporwa kagari kako na mwili wako ukaokotwa mabwepande hukoo. Tanzania ilikuwa ni nchi inayosifika kwa ukarimu wa watu wake lakini taratibu na sisi tunauvaa ukauzu maana tumeona ukarimu wetu unageuzwa dili.
Mimi binafsi hata niwe na shida kiasi gani eti atokee mtu from nowhere simjui hanijui ananiambia panda twende wala sipandi aisee.....najua wapo wenye nia nzuri lakini siwezi kufanyia majaribio roho yangu.
 
Labda langu tu ndio utapanda hata usiku
 
Hahaha. Sasa je ambae anaendesha gari peke yake dar to dodoma, na hataki kula vichwa? Ngoja nipite tu hapa nisitoe ya moyoni
 
Ningekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ingekuwa ni marufuku kwa mtu yeyote yule kuendesha gari yoyote ile akiwa peke yake ndani ya gari.

Haiwezekani mtu atoke posta akiwa kwenye gari yenye siti nne na nyingine zina siti sita halafu mtu yupo peke yake wakati kuna watu wanasubiri daladala masaa mawili mpaka matatu.

Najua ni gari yako, ulinunua kwa pesa zako na hakuna aliyekuchangia ila kwa hilo mngeniona mchungu.

Najua nitakuwa navunja sheria ila nisingewaacha. Ukaguzi wa magari hayo private kwa watu wanaotoka posta na kariakoo ungekuwa unafanyikia Jangwani kwa wanaenda Ubungo, Ubalozi wa Ufaransa kwa wanaoenda Mwenge, kurasini kwa wanaoenda mbagala na temeke, UKIKUTWA UPO PEKE YAKO KWENYE GARI UNARUDISHWA POSTA KUBEBA WATU.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Anzia kwenye makazi
Kuna watu wanaishi peke yao jumba kubwa vyumba kibao wakati Kuna familia za watu 12 chumba kimoja.
halafu umkataze raisi kutembelea msafara magari matano atembelee moja na wapambe wake wote.
 
Mkuu Mchunguzi huru, mbona mii huwa nasimama niwape lift, ila maraia wenyewe huwa hawataki, wakiniuliza unaenda wapi, huwa nawajibu naenda Mabwepande! Hawapandi Mkuu MCHUNGUZI HURU
 
Last edited by a moderator:
Yaani hayo yote. Kuna mtu ananuka miguu, mdomo ama jasho. Kuna wadakuzi anapekenyua kila mahali hadi unamshusha keshachana na seat na kuharibu power window. Kuna wezi, ubebelee simu yako, sio laptop na hata viatu vya ziada. Hukawii kukuta mwingine anakula muwa na hawezi kumeza maganda ( cc Matola).

halafu jioni umejichokea, ama asubuhi una stress huna hela. Umebeba complete strangers kwenye gari, mnaongea nini?! Saa zingine unataka kublast mamiziki ujiimbie kama mwehu usahau stress zako!

huu ushauri nao!
Naomba niwatetee kidogo wenye magari... Si kwamba hawataki kutupatia lifti..ila dunia ya leo ndugu yangu imegeuka kichwa chini miguu juu. Uhalifu umekuwa mkubwa mno kiasi kwamba watu wanaogopa kutoa na kuomba msaada. Unaweza kumpa mtu lifti matokeo yake ukaishia kuporwa kagari kako na mwili wako ukaokotwa mabwepande hukoo. Tanzania ilikuwa ni nchi inayosifika kwa ukarimu wa watu wake lakini taratibu na sisi tunauvaa ukauzu maana tumeona ukarimu wetu unageuzwa dili.
Mimi binafsi hata niwe na shida kiasi gani eti atokee mtu from nowhere simjui hanijui ananiambia panda twende wala sipandi aisee.....najua wapo wenye nia nzuri lakini siwezi kufanyia majaribio roho yangu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Dr maandazi kwa hapa umefail.
epic-fail-picture-gallery-267.jpg
 
Anzia kwenye makazi
Kuna watu wanaishi peke yao jumba kubwa vyumba kibao wakati Kuna familia za watu 12 chumba kimoja.
halafu umkataze raisi kutembelea msafara magari matano atembelee moja na wapambe wake wote.

Hahahahaaa...walah umeua
 
Ningekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ingekuwa ni marufuku kwa mtu yeyote yule kuendesha gari yoyote ile akiwa peke yake ndani ya gari.

Haiwezekani mtu atoke posta akiwa kwenye gari yenye siti nne na nyingine zina siti sita halafu mtu yupo peke yake wakati kuna watu wanasubiri daladala masaa mawili mpaka matatu.

Najua ni gari yako, ulinunua kwa pesa zako na hakuna aliyekuchangia ila kwa hilo mngeniona mchungu.

Najua nitakuwa navunja sheria ila nisingewaacha. Ukaguzi wa magari hayo private kwa watu wanaotoka posta na kariakoo ungekuwa unafanyikia Jangwani kwa wanaenda Ubungo, Ubalozi wa Ufaransa kwa wanaoenda Mwenge, kurasini kwa wanaoenda mbagala na temeke, UKIKUTWA UPO PEKE YAKO KWENYE GARI UNARUDISHWA POSTA KUBEBA WATU.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Mkuu tatizo wizi mwingi!kuna daktari mmoja alitoa lifti kwa mtu asiyemjua jamaa akashuka la laptop yake!pia sikuizi usalama ni kidogo maadui kuanzia ofisini hadi mtaani!
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Gwajima kanunua chopa kabisa, huyu utamwambiaje na wenzake design hiyo?
 
Back
Top Bottom