Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,074
Nikianza na imani, imani yao haba hasa kwa kuamini Mungu aliyemleta huyo mtoto hapa duniani hana uwezo wa kumkuza na kumlinda. Sasa moja kwa moja wanaamua kuwa na imani kwa miungu ya kisanamu.
Upeo, kwa kweli ni mdogo mno. Wanakuwa awawezi kujitawala basi na shaka kabisa wanatumia akili za kuchanganywa na za wengine.
Elimu, sina shaka kabisa ni level ya Secondary na kushuka chini.
Inaonyesha bado mdogo na hayajakukuta, yakikukuta utaelewa nini uandikacho. Karibu Ulimwenguni.
kwani waonaenda kwa waganga wote hawajasoma? na wanaupeo mdogo?
Chunguza, Fikiria chukua hatua .........