Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

Sony Xperia Z5 Official firmware latest version (Sony Official support page)

Android version: Android 6.0 (Marshmallow)
Latest available software: 32.1.A.1.163
Release started: 2016-03-07

Kwangu nimepata official update through OTA

Screenshot_20160406.jpg
 
Jamani kwa yeyote aliyepo dar. Nahitaji ku update simu yangu kwenda marshmallow. Ni samsung S5. Nataka kujua ni bei gani
 
Bila shaka wana JF mpo pouwa lengo la kuanzia uzi huu ni kwa wale wote wanaotumia mfumo endeshi wa android haswa wale waliopafanikiwa ku update toleo la Marshmallow katika simu zao.

Naomba watu marejeo hapa Pia sio mbaya kama utataja aina ya simu.
Hivi mkuu naweza nika-update Android belly Jean 4.2.2 to marshmallow Android?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom