Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

Nimefungua group whatsapp pm namba tushare idea kuhusu android firmware
 
Yangu ipo lollipop ila haina update ya marshmallow note 3..kwaio kupata hio hadi ni root simu???
 
Mwenye uwezo wa ku update simu yangu S5 kwenda lollipop au marshmallow tafadhari. Nipo tabata segerea. Naweza kukufuata popote ulipo na unipe gharama zake. Mm kila nikijaribu inakataa naambiwa mpaka computer kutumia kies
 
Whatsapp me bro namba 0752636738
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom