Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

Nina samsung note 3 ina android version 5.0.1 je tayari ina update ya 6.0?
Na nina Huawei g6-u00 je naweza kupata official firmware?
 
Mi nna Samsung J7 ina lollipop je marshmallow yake bado?
 
Binafsi naitamani sana hii 6.1.0 ila sina namna natumia HTC 6435 LRA droid msaada ba ndugu
 
inategemea na aina ya simu na model number mkuu mfano s3 gt-i9300 wameishia v4.3 labda kwa custom rom kwa kutumia cm13, vivyo hivyo kwa nyinginezo kama note 3 stock rom wameishi v5.0.1 so ni vizur ukataja aina ya simu...
Hivi mkuu naweza nika-update Android belly Jean 4.2.2 to marshmallow Android?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom