Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

94e48a16d7148710e3abcdf7b87eba4a.jpg


Yani tokea nipate hii March update simu yangu ipo smooth hamna tena lag
Iko very smooth yan..
 
Wakuu mimi natumia samsung galaxy s4 gt-i9500. .ikiwa na latest ya lollipop je naweza kwenda mashmallow 6.0 japo kwa kutumia custom ROM?
Asante
 
Wakuu ukitaka kuupdate hiyo bila kupewa official notification inakuwaje..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom